Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Chuo cha kodi (ITA) wamenipigia simu wameniambia niangalie profile yangu lakin kina nikifungua haifunguki....
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatimaye sasa ubora wa elimu na ufaulu umeanza kuzingatiwa katika kusomea vyuo vikuu nchini. Masomo ya science yalipoteza heshima yake kabisa, mikopo iligawanywa kiholela holela tu. Sasa wimbi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu Wana JF, usema ukweli Add O-Level sitting bado tatizo katika website ya TCU. Nimeweka matokeo hayo kuresit ya mwaka 2014 lakini bado haileti majibu. Nashindwa kuendelea mbele... Msaada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Chuo ni chako (serikali) madhaifu ya chuo ni wewe ndiye uliyesababisha au ni kutokana na uzembe wako (poor management) alafu ghafla unatoa tamko kuwa chuo kimefungiwa, huoni kuwa huko ni...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi viongozi... Natumaini mu wazima wa afya,lengo langu ni kutaka kujua utofauti wa hizi course na ipi ni bora kuliko nyingine. 1.Bachelor of science in information communication...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Je yule aliyepata div 2 ya point 12 anaweza kuchaguliwa kusoma udsm??
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wana jf wasalaam! Kama mtakuwa na taarifa kuna vyuo na course flani kwenye vyuo fulani zimekataliwa kuchukua wanafunzi kwa mwaka huu na ni kutokana na sababu mbali mbali za kitaalum na miundo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello JF..this is a true testimony..... Today around 8 am in the morning I got a phone call from the college of Judiciary IJA ,,it was Wandering through this number 0227689097 she was informing...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Bila shaka kuna baadhi ya members ambao wamesoma tuition kwa Ostadhi pale chang'ombe,ningependa kufahamu uwezo wa huyu jamaa kiufundishaji maana nimekuwa nikisikia kwa Ostadhi kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Si kielimu, si afya, madudu ni mengi maisha ya kuungaunga
0 Reactions
0 Replies
552 Views
*Finland is ranked No.1 in the world in Education. What’s so great there!* • A child goes to school there only at the age of 7. The torture does not start at 2 ½ as it is elsewhere. *• A...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Nmehitimu tayari kwa mwenyewe private school au centre ili tusaidie wadogo zetu my no 0717085977
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Habarini wakuu, Naomba mnisaidie kujua kama mwanafunzi amefaulu masomo ya Physics, Chemistry na Mathematics na pia ana ufaulu wa "B" O-level Je ataweza kusomea udaktari? Nawasilisha,
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Habari za mda wadau Kwanza poleni kwa majukumu. Nimefungua huu uzi nikiomba mnishauri ni degree gani nzuri naweza fanya kwa masomo na ufaulu wangu HGE Hist C Geo C Eco C Bam D Na 1 ya point 9...
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Nina matokeo haya form 6 biology=D,agriculture=D na chemistry=E naweza soma nini apo wakuu?
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Niaje Wazeiyaaaah.... Ebana leo niko serious kidogo hivo nahitaji pia wachangiaji serious. Mtakaoleta kebehi natanguliza shukran tuu.. issue iko hivi: Mdogo wangu anajiandaa kuingia chuo mwaka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama ni mbwai na iwe hivyo tu, mtaka cha uvunguni sharti akunje kiuno watanzania. Kuna jambo ambalo nazani serikali ya awamu iliyopita haikuwa makini na namna ambavyo walimu wanaandaliwa pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie huu mkanganyiko kwani nimeshachanganyikiwa.Nacte mpaka sasa hawajafungua udahili kwa upande wa undergraduate siku ambayo wanafungua nacte, loan bodi wanafunga maombi ya...
0 Reactions
1 Replies
636 Views
wakuu mi ni mhitimu wa form six HGL mwanzo nilipenda education sababu ilikua na priority na ajira ya uhakika kwa hali ilivyo sasa nimeona bora nisome logistic and transport sababu hata ajira za...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom