Habarini wanajf.
Najua TCU inalengo zuri Sana la kuinua elimu ILA mimi nitofautiane nao kidogo kwenye kuwawekea vigezo sawa watu waliosoma science a level na watu waliosoma arts a level
Mfano...
Wadau habari zenu, binafsi katika maisha yangu ya chuo kikuu kuna hili somo la ECONOMETRICS kwa wale walio soma BA IN ECONOMICS yani pure economics haijalishi chuo gani au ulifundishwa na...
Ndugu zangu wana jf mie nimehitimu kidato cha sita mwaka Jana nimesoma PCB nikapata phy d Chem b na bios b+
Nimeanza kuapply nilipofika validation wakanibia not passed kwa upande Wa A level...
Mimi nmemaliza kidato cha sita mwaka huu 2016 na nmepata 3 ya 14.kwnye combinationa yangu pcm nimepata EED sasa nahofia kuapply.......Ila kuna rafik yangu yeye alikua ECA na amepata kama mimi ila...
Naombeni mnisaidie kwa hili je account yangu ya tcu baada ya kuchagua vyuo hamna sehemu pa kucomfirm au ndio naacha vilevile naombeni msaada mimi bado mgeni kwa haya mambo.
Habari,,, naomba kujua vyuo vya LUGALO MILLITARY MEDICAL SCHOOL NA KIBAHA COLLEGE OF HEALTH AND SCIENCE vina hostel palepale au havina, na je ada zao sh ngap kwa coz ya clinical medicine...
B.sc.Agronomy
B.sc.in Forestry
B sc.food science and technology
B.Sc.in Agricultural education and Biological science
B.sc.in Aquaculture.
B.sc in Nursing.
naombeni msaada program gani nzuri na...
Wakuu nawaomben msichoke kuendelea kunitolea ufafanuz juu ya maswali hya.
Ninaomba mwenye kujua chuo hiki huwa kinatoa koz zip na zip anieleze kama kimesajiriwa kwa uhakika
Wakuu heshima kwenu,
Kama mada inavyojieleza, mdogo wangu amehitimu kidato cha sita combination ya PCB, lakini matokeo yake si mazuri sana kwani amepata Physics - E, Chemistry - S na Biology - S...
Habari zenu wanajamvi. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu (2016) na nimepata Div 1.9 kwa mchepuo wa PCB. Kwa ufaulu huu naweza apply vyuo kwa mpangilio ufuatao:
1. MUHAS
2. UDSM
Naombeni...
Habari za asubuhi ndugu zangu.
NI hivi mimi ni wa naifahamu sytem ya zamani ya kuingia certificate na diploma kabla ya kuja kwa hii BRN (big result now) ambayo ni kwa miaka ya 2014 na 2015. sasa...
1.Form four results,DIV 3 pt 23 with four credits and the rest are Ds.
2.Teaching certificate with GPA of 3.8
3.2016 Form 6 results DIV 3 pt 16 with GPA 3.5,combi HKL=SCF
Kwa hizo sifa zote kwa...
Daaaa! Sasa kwa wengine ndoto ya kwenda chuo kikuu imebaki kuwa ndoto kwa hawa wakubwa kuweka hiyo kwamba gpa 3.5 kwenda juu mtu wa diploma na form 6 point 4 kupanda.
Jamani kweli tutafika halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.