Habarini wanajf.
Najua TCU inalengo zuri sana la kuinua elimu ila mimi nitofautiane nao kidogo kwenye kuwawekea vigezo sawa watu waliosoma Science A-level na watu waliosoma Arts A-level.
Mfano...
Waziri wa elimu Prof. Joyce Ndalichako amesema chuo cha St. Joseph kimekuwa na mfulilizo wa matukio na mapungufu mengi hivyo hawawezi kupeleka wanafunzi mpaka chuo kihakikishe kinapunguza...
Habar za mchana wana jamvi mimi nilikua nauliza je TCU wameshatoa guide book kwa mwaka 2016/2017 na je tunalipia shilingi ngapi kuweza kuapply vyuo vikuu pliz naombeni msaada ndugu zangu wana...
Haloo,
naulizia mtu anayejua center za cpa evening review classes karibu na maeneo ya samora ili iwe rahisi kwenda pls maana za mbali nitachelewa vipindi.
Hii habari ni kwa ajili ya wanafunzi wote waliomaliza form six mwaka huu ambao wanataka kuapply loans board ili waweze kupata mkopo kwa ajili ya mafunzo elimu ya juu.
Hali ni iko ivi loans bodi...
Ndugu zangu wahitimu pamoja na wote wanao kusudia kujiunga na masomo ya elimu ya juu tushirikiane kuiombea guidebook hii itoke kwani nahisi inafanyiwa marekebisho makubwa kwa mwaka you wa masomo...
Habari za saa hizi wanajukwaa.
Nimehitimu kidato cha sita mwaka kwa combination ya EGM.
Na nina division two. Na kama mnavyofahamu TCU wameshatoa ruksa kuanza kuapply vyuo vikuu
Sasa kabla...
Natumai nyie wazima wa Afya
Naomba mwenye kujua hili anifafanulie! Mimi nilimaliza form six 2013 na matokeo yangu ni division two ya 12 ila nimeanza chuo bahati mbaya nikadisco kutokana na sababu...
Habari wana jamii forum naomba kujua mkopo wa elimu wa LAPF ukoje yani Mimi ni mtumishi wa serekali na ninakatwa mfuko wa LAPF ,nilichukua mkopo benki million 21 nikajenga sasa nataka nikasome...
Msaada tafadhar wadau, nina rafiki yangu kamaliza six mwaka huu PCM ana CCD anapenda kusomea (Mafuta na Gesi) ananiomba ushauri kuhusu hiyo kozi na changamoto za ajira mtaan. Mim ni mwalimu wa...
CHANGE OF PROCEDURES, REQUIREMENTS AND MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS 2016/2017
No Admission into Foundation/Bridging Programmes
All foundation...
What is leadership, and who has it? Can you develop leadership ability, or is it something you must be born with? Some say leadership has to be learned and earned. Others say...
Wanajamvi,
Mimi nahitaji kufanya application ya chuo, na nimekuwa nikisubiri awamu ya pili ambayo walisema ingetoka mwishoni mwa mwezi wa 6, ila mpaka sasa naona kimya.Pia nasikia watu washaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.