Wakuu navutiwa kusoma medicine UDSM lakini nina wasiwasi mwembamba kuwa sitapata nafasi kutokana na ufaulu wa wastani: division two ya kumi PCB.
Hivi naweza kupata UDOM kwa medicine?? maana hiyo...
Habari wanajamvi samahani nilikuwa naomba kuuliza kuwa elim ya uganda ikoje kwa upande wa a level je mtu akisoma tz na kupata D na C na mengine ana E hayi ni matokeo ya 2014-2015 form four...
Jamani nimedownload guidebook ya upande wa afya zijaona upungufu wa wanafunzi wanaohitajika kwenye chuo husika,kwani capacity ya chuo zinaonekana ni zile zile ambazo zilikuwepo kipindi cha...
Habari,,, nimeingia NACTE nimeona tangazo lao kuwa majina yametoka na pia wameruhusu kuapply cheti na diploma mpaka tarehe 5 agoust,, lakini nikiingia CAS wanasema diploma waanze kuapply tarehe...
Jaman Kwanza Namshukuru Mungu Kwa Kupata Nafasi Hii Adimu!! Na Wale Waliokosa Nafas Bc Msikate Tamaa!! Nilimaliza 6 Last Year Nikapangiwa KU! Ada ikawa mtihan so nikakaa home mwaka mzima...
Nilihitimu kidato cha nne 2007 na nikapata four ya 26...lakini ckufanya chemia na phizikia....nataka kufanya masomo hayo mwakani ili nisome diploma ya uuguzi.je hayo natakiwa kufanya masomo...
Nmepata dvision 3 ya 24 na ni arts na nmepata hstory-C, biolog-c,kiswahli-c,english-C,geograph-c,civics-D,maths-F ,, je watanipanga mana combi nne zmebalance kasoro egm naombeni majibu yenu na je...
Heshima yenu wakubwa, hamjambo? Mimi nilimaliza kidato cha 6 mwaka huu na matokeo yamerud sijakidhi vigezo. yaan nimepata History E, Kiswahili D, English S na G.s S. Sasa, nahitaji kusoma Diploma...
Kutokana na hali ya ufaulu wa jumla wa masomo ya Sayansi, na kauli za ubabe za Serikali, na woga wa TCU kutoa mawazo yao, nashauri watoto mlio wengi kukwepa masomo haya ya Sayansi.
Serikali...
YAH: KUSOGEZA MBELE MAFUNZO KWA VITENDO NA SUALA LA KUSAINI MIKOPO
Katika barua ya wizara ya tarehe 21/ 07/ 2016 yenye Kumb. Na . CFB.137/413/ 01G/42 mliagizwa kusogeza mbele Mafunzo kwa Vitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.