Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama.
1.UDSM
2. MUHAS
3. SUA
4. MZUMBE
5. ARDHI
6. OPEN
7. KCMC
8. CUHAS
9. KAIRUKI ?????
10...
Habarini wakuu, Mimi ni mwalimu sekondari ninadiploma G.P.A 3.1, advanced nilipata E flat HGL. Nimeomba ruhusa ya Halmashauri kwenda mason kwa miaka 3 nimepata,
Naombeni ushauri wenu wadau...
Kuhusu:Mchaka mchaka wa vyeti feki.
Mimi hili nakuunga asilimia 100%.Huu mchakato uendelee na yeyote atakayebainika basi sheria ichukue mkondo wake.
Ila sasa unapoenda mbali zaidi kubaini watu...
Salaam wana jukwaa.
Ningependa kujua kwamba je, PGD in Scientific Computing inayotolewa UDSM na college ya CONAS inaweza kumsaidia mwanafunzi ambaye hakusoma BS. CS kusoma MS. in Computer Science...
Nimeona sahivi kuna kitu kunaitwa higher diploma.hivi hii kitu ipoje tofauti na diploma ya kawaida na inachukua muda gani kusomea kozi kwa hii higher diploma
Kuna thread nimesoma hapa JF nimebaki kucheka sana.
Ilikua kuhusu ubora wa elimu Tanzania mathalani elimu ya juu.
Mimi nimesoma sua degree ya Kwanza, Boston USA degree ya pili na sasa nasoma PhD...
Huu ni msimu wa kujidahili kupitia NACTE na TCU ili kupata nafasi ya kujiunga na vyuo. TCU wametoa guide lakini cha kushangaza kuna vyuo huwezi kupata taarifa za program wanazotoa ukiacha hii...
Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta mafunzo ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni...
Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nimepata div. IV ya 26 ninatafuta vyuo vya ualimu vya kujiunga, lakini vyuo vingi wanasema wanapokea mwisho div. III je, hakuna chuo ambacho kinatoa...
Hello JF
Hope you are doing fine...ndugu zangu hiki chuo nakiogopa sana kwani kina mizengwe kibao,,mara kifutwe mara kirudishwe..nahitaji ushauri wenu
kutokana na vyuo vingi vya serikali vya...
Mh Waziri wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhimu sana katika somo la kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni
1) Phonology
2) Syntax
3) Semantics
4) Morphology.
Turudishie maana ndo...
Nimepitia ile Guide ya TCU na website yao, lakini sijafanikiwa kuona tarehe ya mwisho ambayo ndio mfumo wa udahili wa pamoja utafungwa kwa wanao taka kuomba. Anaefahamu atujuze.
Nimeingia online regostration ya NACTE but sijaona guide book ya teachers colages , please mwenye nayo naomba sana , naomba aprovide attachent hapa, please kama unayo naiomba as fast as possible...
Msaada kwa huyu binti ambaye hajapata selection ya form five wala NACTE wakati ana div III.25. Namba take ya mtihani ni S4279/0029 tatizo liko wapi?
Je aki apply tena atachajiwa pesa ya kutuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.