Sabal-al-khair wanajukwaa,
Nina mwanangu anatarajia kuhitimu kidato cha nne mwezi wa November mwaka huu kama itampendeza M/Mungu. Miaka ya nyuma ilikuwa ni desturi kwa mwanafunzi aliyehitimu...
Mdogo wangu mimi kasoma PCB ila katemwa kwenye selection za clinical officer kwa anayejua naomba anifahamishe wametumia vigezo gani kutomchagua asanteni
Nacte walivyotoa majina ya waliochaguliwa vyuo walitoa pia na tangazo likiwataka watu waapply ngazi ya cheti na diploma mwisho tarehe 5 agoust,, nikiangalia guide book za afya naona vyuo na corse...
Natumaini mu wazima wa afya.
Hivi majuzi kuna taarifa rasmi kuwa kuna baadhi ya vyuo vimefungiwa kudahili wanafunzi, sasa matokeo yangu ya kufanya application kupitia NACTE yametoka na...
Wadau kuna jamaa amesoma diploma ya procurement na akaomba degree education akapangwa. Yuko chuo mwaka wa pili sasa anapiga masomo ya history na kiswahili aliyoyaacha O-level.
Alipangwa kihalali...
Wana jf,
Naomba msaada wenu kuna vipengele ambavyo mwenyekit wa mtaa hakuvikata hata katibu wake lakn wote wamesain.
Ukizingatia form nmeshaituma baada ya kuangalia copy yake ndio nmeligundua...
Mm nimehitimu kidato cha sita Pcm ,nilikuwa nataka nisome Diploma DIT ya civil engineering ,Je inabidi nifanye maombi ya ordinary diploma yanayoendelea saiv au nisubiri watafungua maombi ya...
MAELEZO KUTOKA KWA KATIBU MKUU UTUMISHI.
1. Malimbikizo ya salary, yatalipwa automatic baada ya areas kuwa approved na maafisa utumishi, kuanzia pale ulipopanda. Hakuna tena kudai area
2...
KAULI HII IMETAWALA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KWAMBA mh Joyce Ndalichako alisema kwamba haitaji E kwa wale form 6 kitu ambacho kinaleta mkanganyiko kwa watu wengi kutokana na vigezo vya TCU...
wana jf naomba mnisaidie nimesoma katika ngazi mbali mbali za elimu o-leve A-level hadi chuo kikuu ni miongoni mwa vijana tunaosubiri ajira ila tatizo langu miongoni mwa vyeti vyangu nilivyo navyo...
Leo nimeongea na mtoa huduma kwa wateja wa bodi ya mkopo HESLB na kusema kama umekosea kujaza fomu yako, mfano umekosea kujaza tarehe na mwaka wa kuzaliwa au taarifa zozote na tayari umesha print...
Ndugu nimekosea kuchagua category nacte badala ya health nimechagua mambo ya agriculture nimejaribu kubadilisha inagoma what should i do to solve this?
Habari za leo wana jf, naomba mniambie chuo cha ardhi singida kinatambulika kwa jina lipi mtandaoni? Pia naomba mniambie link ipi itaniwezesha kuangalia majina ya wnfz waliochaguliwa kujiunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.