Duniani na mbinguni hili linaeleweka kabisa bila mawaa! Kamwe masomo ya sayansi hayajawahi kuwa na uzito sawa na masomo ya arts!
Kwamba kidume aliyetusua Physics - D, Chemistry - D, Advanced...
Habari zenu wakuu, mimi nmemaliza form 6 mwaka huu ila nimekosa principles za kuingia elimu ya juu. Sasa nimeplan ku reseat ACSEE mwakani.
Mwenye uelewa au ushauri juu ya hili...
Wanajamvi,
Mimi nmehitimu form six mwaka huu na matokeo yangu ni division 3.13 ya DDE.
Sawa nina D mbili ila ndoto yangu ni kuwa daktari na kwa alama hizo siwezi kusoma degree ya udaktari...
Wadau vipi,
Mimi nina division 3 ya 24, niliapply diploma in primary education, matokeo yake wakaniandikia "add qualifications" wakati nilishaziadd mwanzo!!!.
Naomba anayeelewa hili anisaidie...
Nimemaliza form four 2010 nikaingia kitaa. Nina lesseni ya udereva ila kazi za udereva hazilipi nataka nijiongeze kielimu.
Naombeni ushauri ndugu zangu.
Asanteni
Nimejaribu kuangalia hizi grade za TCU na grade za chuo alichosoma mdg wng Ni kuwa zipo tofauti sana. Kwa mfano B ya TCU imeishia 50 wkt ukipata 50 ktk chuo alichosoma yy ni sawa na C afu uyu...
Naomba msaada tafadhali dogo kamaliza six kapata dvs 3 ya 14 so ana DEE anataka aende dipl.ualimu na fungua nacte cioni guidebook ya ualimu au kuna utaratibu mwingine waliosoma au wenye ufahamu...
Naomba kuuliza kuna vyuo vimefungiwa lakini NACTE wamewapeleka wanafunzi je wale wanafunzi walio pelekwa katika vyuo ambavyo vimefungiwa mfano ECKENFORDY YA TANGA
Habari wadau ningependa kujua aliyeapply nacte kwa kozi hiyo ambaye amechaguliwa naomba kupsta uzoefu wake namna alivyofanya maana mimi nimekosa sijui kwa kuwa nina mwaka mmoja kazini sijapewa...
JAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI
-NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI...
Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza?
Kweli JPM kazi unayo. Nakubali...
Habari zenu wana Taaluma humu ndani
Nina jambo naomba nanyi mnipe ushauri wa kumsaidia mdogo wangu.
Nina mdogo wangu wa kiume ambaye kamaliza kidato cha sita katika haya matokeo yaliyotoka hivi...
Jamani wale tuliochaguliwa na kujiunga na masters tajwa hapo juu ningependa tufahamiane
hata kwa PM ili tuweze jua tunajipanga vipi kimashambulizi ya feb 4.
Waelewa wataelewa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.