Wakuu habari ya wakati huu,naombeni mnisaidie kunifahamisha jambo hili,Nimemaliza diploma mwaka Jana na nimepata GPA ya 3.9.
Tatizo lililopo kwenye provisional examination result (ambayo...
Habari, naomba msaada wanajf,
Confirmation code kama ilivyoelezwa na NACTE ni lazima ianze na herufi, sasa payment ID yangu inaanza na namba, nifanyaje?nimejaribu kutuma hivyo hivyo imeshindikana..
Wana Jf nimebahatika kuchaguliwa Lindi kwa kozi ya clinical officer lakini kuna tetesi kuwa ukisoma hii kozi huwa chakula ni kujitegemea sasa naomba anayeifahamu Lindi anipashe kuhusu gharama za...
Habari zenu...nilitumiwa sms na wizara ya elimu ya kujaza form za mikopo online....kwa wenye kujua hii process naomba atueleweshe...maana kwenye website ya hlsb sioni category inayotuhusu...
Habari wakuu
Nimefuatilia cheti cha kifo cha mzazi ili nikiambatanishe na fomu sasa sijakipata maana kila nikijaza kwamba mzazi alifariki namba ya cheti lazma iwepo.
Nimeamua kujaza mzazi yupo...
Mwanangu amekosea kujaza form za mkopo kisha kaprinti. Nini cha kufanya ili kurekebisha? Je ni kujaza form kwa kulipa upya? Msaada tafadhali kwa nayejua.
Kwanza kabisa nawasalimu nyote wakubwa kwa wadogo poleni na majikumu ya ujenzi wa taifa.Mimi ni kijana ambaye hivi karibuni nimehitimu elimu ya kidato cha sita lakini kiukweli matokeo si mazuri...
Salaam wana JMF
Kufuatia mabadiliko makubwa ya grades za kujiunga na elimu ya chuo kikuu yaliyofanyika juzi, kuna mdau anaomba kwa mwenye uelewa wa kozi za udaktari wa binadamu (MD) ni kozi gani...
The Book "God's Mystery That Is Christ" discusses the meaning behind the six days of Creation and the seventh day of Rest.
This Book sets forth the importance of the Creation Story and...
Wakuu Habari Zenu?
Kabla Ya Kuapply Chochote, Naomba Kwanza Munijuilishe Kama Kuna Tofauti Yoyote Kwenye Course Hizi:-
1) Bachelor of Science in Education
2) Bachelor of Science with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.