Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
MASTER ipi kati ya hizi ipi inaweza kukuajiri au kupata consultancy nyingi. Wenye uzoefu mlioko kwenye Industry Msc ICT in development or Msc IT in project Management Msaada kwenye tuta!!
0 Reactions
0 Replies
641 Views
kuna pesa zilitoka kwa ajili ya siku ya elimu lakini zikapelekwa kwenye shule ambazo zimefanya vizuri na shule kongwe ...sasa kuna shule moja waliingiziwa pesa na mkaguzi yeye maelezo yake ni kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://olas.heslb.go.tz/downloads/HESLB_DEFAULTERS_BATCH_1.pdf
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani hv iz points wanaz converts sehemu gani? mbna matokeo yapo vlevle ya 2014. Au wametusamehe wa miaka ya nyuma. ambaye matokeo yake yako tofauti yaani wameyabadrsha atujuze. Maana jamaa...
0 Reactions
3 Replies
943 Views
KOZI ZA SPECIAL DIPLOMA CHUO CHA UDOM ZIMEFUTWA RASMI KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 >>>>>>>HIZI HAPA KOZI ZILIZOFUTWA
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakubwa habari zenu. Naomba kwa mwenye kufahamu kuhusu chuo huria wanaanza kuchukua point ngapi kwa mwanafunzi anayetaka kuchukua degree ya kwanza?
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Tafadhali husika na kichwa cha barua hapo juu!! Mm ni muhitimu wa ngazi ya stashahada na ninaetarajia kujiunga na shahada ya kwanza! Lakini nimekutana na changamoto kubwa katika swala la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini kuna muachano mkubwa wa ufaulu kati ya shule za binafsi na zile za serikali?? Nisaidieni hoja hata saba
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Naona watu wengi wanatoa taarifa kuwa ndalichako kasema anadahili upya kwa kutumia mfumo wa sasa yaani Guide book ya sasa maana nimeisikia hivo vitu nijuzeni au mnipe source aliongea wapi na lini...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Tume ya Vyuo Vikuu nchini imetoa Taarifa kwa Umma kukanusha uvumi ulioenezwa kwa njia ya mtandao juzi na jana kwamba Tume hiyo imezuia Vyuo 22 kufanya Udaili wa Wanafunzi katika mwaka wa masomo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu. Poleni kwa kuwa na subira ya kuhamia katika kituo kipya cha kazi. Nina dukuduku, ikiwa watumishi wawili wamekubaliana kubadilishana vituo vya kazi mf. halmashauli X na Y, na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefanya malipo kwa njia ya Mpesa ili nipate vocha numba ya TCU kwa ajili ya selection za vyuo. Ajabu ni kwamba kila nikiingiza vocha niliyopewa napata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada nimelipia TCU kwa Tigo pesa lakini nimefungulia account kwa number ya form 4 kuna tatizo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi, kwa anayejua shule nzuri ya private yenye ada nafuu sehemu yoyote yenye mchepuo wa sayansi yani (CBG) aokoe jahazi. Msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba mnijuze namna ya kuomba mkopo bodi ya mkopo kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo. Nasikia kuna form maalum unaipata kwenye mtandao baada ya kujaza form za mkopo na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Sorry wadau naomba kujua taratibu za vyuo vya afya vya serikali vya diploma za afya kwa mwenye uelewa pls!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani, tusaidiane hapa tafadhali wanandugu. Mimi ninaapply diploma NACTE, nina shida na kozi za afya za KCMUco ila hiki chuo sikioni kwenye list. Tatizo liko wapi? Nafanyaje kukipata kwenye...
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Jamani wanajamvi nilikua naomba msaada wa hizi course 1.Bachelor of science in land management and valuation at Ardhi University and 2.Bachelor of arts in local goverment management at Mzumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi matumizi ya cheti cha A'level kuomba diploma za Afya hakihusiki? Maana naona criteria ni za O'level kuanzia Biology-C,Chemistry-C Physics-D. Sasa huyu mwombaji ana EED ya PCB A'lev...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom