Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
ADA ZA RUBYA HEALTH TRAINING INSTITUTE NI HIZI HAPA.<br /> KWA MUJIBU WA JOINING INSTRUCTION NILIYOPATIWA NA CHUO HUSIKA CLINIC......
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari wakuu, Mimi si mwenyeji saana wa Zanzibar, kwasasa ninaishi hapa kisiwani naomba kujua ni wapi wanafanya review classes za CPA(T) kwa hapa kisiwani Zanzibar.Tafadhali mwenye taarifa sahihi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bachelor of Education in Arts na Bachelor of Arts with Education zinatolewa pale Mkwawa varsity, utofauti wake ni upi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
tuonane hapa wote mliopangiwa hapo na wale wakongwe wa hapo tushauliane
0 Reactions
3 Replies
755 Views
jamaa kasoma degree ya Finance and Accounting Mzumbe baada ya kukaaa mtaani miaka mitatu bila ajira ameamua kuapply diploma ya Clinical medicine mwaka huu.........amemaliza form four mwaka 2007...
9 Reactions
29 Replies
6K Views
Nlifanya mtihani wa 4m 6 mwaka 2014 na matokeo yangu yalikuwa Geography C, Economics C, Mathematics E. Niliwekewa division 4 bila points (hapo nilifeli Math ndo maana nikapata 4). Je naweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za mihangaiko waheshimiwa, Naomba msaada/tujadikiane katika hili! Hivi ambae ulishamaliza form V unaweza kuomba kufanya mtihani wa somo ambalo hukulifanya katika mthami wako wa kwanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"]KABENDE.COM: Taarifa muhimu kwa wanaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu walioko Dar es Salaam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Nimeona nilete uzi huu kwani tokea enzi za mwalimu, watu wengi wamekuwa wakikimbilia kusomea ualimu kama njia rahisi ya kuajiriwa serikalini, kwani mhitimu wa kozi ya ualimu, matokeo yake...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Habar wana jf. Naomba mnisaidie namna ya kufka chuo cha afya rubya,mazingira pamoja na ada ya chuo hicho.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nina mdogo wangu last year alifanya application ya vyuo tcu ila akufanikiwa kwenda ingawa alichaguliwa,sasa mwaka huu anataka kwenda kusoma sasa wakat tunafnya application tukakuta bado anaonekana...
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Afican scholarships: Ndugu Wana Forum Nimeanzisha Scholarship site kwa Wana Africa. Kama kuna mtu ana mpango wa kusoma (undergraduate or postgraduates) na hana scholarships basi atembelee na kama...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
MFUMO WA KUTAHINI WA NBAA UTAZAMWE UPYA Naishangaa sana NBAA. Wakati nchi nyingine za muungano wa jumuia ya Afrika Mashariki zikifanya kila juhudi kuhakikisha wananchi wake hawaachwi nyuma...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Baada ya serikali kukaa kimya kwa kipind kirefu sasa imeamua kupitia na kuhakiki majina ya wanufaika wa mkopo ya Elimu ya juu kupitia HESLB. Haya ni baadhi ya tu ya majina kati ya wanufaika wote (...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Wana jf habarini, naamini humu kuna walimu, wataalamu, wanafunzi na wote waliopitia katika suala zima la elimu, uzoefu wenu kama walimu, au wataalamu naamini naweza kupata msaada wa jambo...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
When will the second selection for form FIVE 2016 be published? You can predict the publication of the form five 2016 second selection by referring back to when they were published last year...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
MSAADA TUKIPATA TATIZO TUPIGE WAPI SIMU.NAOMBA KUJUZWA HUO UJUMBE NI SMS TOKA NACTE.AU NATATUA KWA NJIA ZIPI?(At any point in time if you encounter any problem, do not hesitate to contact NACTE by...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nina tatizo, nimechanganya peni nyeusi na bluu kwenye kujaza fomu za kuombea mkopo HESLB. Je nifanyeje?
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Hizi Website za TCU na NACTE.. Ni kero Tu Mtandao Una Jam kama nn. Ukizingatia watu wanao Apply Hawafiki hta Laki.. Ki website Kishajam... Sasa Wangekuwa wanamiliki Website kama Facebook ingekuwaje
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom