Hakika waziri wewe ulikuwa miongoni mwa mawaziri mwaka 2014. Mliamua kusajili wanafunzi 2,000 UDOM kwa kuanzia credit moja ya "C" na mlichagua hadi watu ambao hawakuomba UDOM. Je ahadi yenu ya...
Habari zenu waungwana,mie ni kijana ambaye kutokana na life kuwa gumu nimeonelea nikasomee mambo ya Video Camera au Camera man sasa napenda kufahamishwa ni chuo gani kizuri kwenda kusomea kwa hapa...
NACTE wanajihusisha na Technical Institution mfano IFM, TIA, CBE nk na TCU wanajihusisha na Universities mfano UDSM, UDOM nk.
Technical Institutions nao pia wanatoa bachelor degrees, diploma...
Ndugu wana jf natumaini hamjambo
Nina matatizo kidogo katika profile yangu. Niliapply NACTE kozi ya Afya na Education na walipotoa selection sikuwemo ikanibidi KUEDIT vyuo. Baada ya siku kama...
Kwa udahili wa kuweka vigezo sawa baina ya wanafunzi wa sayansi na Arts nina wasiwasi sana huenda tukakosa wanasayansi siku za mbeleni na kulazimika kuazimia toka nchi kama RWANDA
Katika mfumo...
Kutoka fb ya HESLB:
(i) What should employer do when recruiting new graduates?
· According to Higher Education Students’ Loans Board Act No. 9 of 2004 (as amended), employer should notify the...
Naombeni msaada wenu waungwana.
Iwapo mtu alifanya mtihani wa ACSEE na akapata matokeo ambayo hayakumridhisha ingawa yana mruhusu kujiunga na elimu ya juu ,Je ana ruhusiwa na NECTA kurudia mtihani...
Habari wanajukwaa, naomba kuuliza kuhusu case hii inayomhusu rafiki angu. Mwaka jana yaani 2015/2016 aliomba kusomea TECHNICIAN CERTIFICATE ya kozi flani ya afya miaka miwili katika chuo flani...
Some of our educated brothers and sisters are increasingly unhappy and openly frustrated with USA way of life. Highly educated Tanzanians are currently working in embarrassing lower paying jobs...
Et wadau kuna waraka wwto upo toka nacte kwamba mtu yyte mwenye 4 ya 26-29 akutaka kusomea ualimu mpaka asome kozi yyte ile ya certificate ndo aply ualimu?
Habari wataalamu....
Kuna course ipo katika moja ya chuo kilichopo bagamoyo inaitwa ''EDUCATION LEADERSHIP MANAGEMENT AND ADMINISTRATION''. Hii course kama nitaichukua, inahusu nini na je inaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.