Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habar za humu wakuu...naomba msaada kati ya MBA in finance,human resource and marketing ni ipi iko pouwa kwenye ajira na pia mshiko. mhusika ana advance diploma ya marketing miaka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anaefaham course upande wa degree IFM anifahamishe unasomea ki2 gan na kaz zake maeneo gan?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu msaada plz. Kwa yeyote anaefahamu boda zote za Tanzania naomba anisaidie kwa ku list hapa pamoja na nchi zinazo pakana na hzo boda
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Jamani kama mtu yeyote aliyeomba diploma ya ualimu.(higher diploma )je unaomba kama university yaani mpaka uchague vyuo zaidi ya viwili.ama unachagua kimoja tu.nisaidie kwa anayejua.nataka...
0 Reactions
3 Replies
711 Views
samahan wadau nilikuwa nna swali ety kati ya hizi course mbili actuarial science na building economics ipi ipo marketable zaid tanzania
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Habari waungwana! Mimi nipo kazini na ninampango wa kusoma degree cozi nimeanza na diploma The problem is chuo nilipata GPA ya 2.6 na form six nilipata div three ya pts 14 ikiwa ni DEE sasa kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naba kujua kama kuna post zozote za walim kwenda kusoma kama zimetika kwa sisi tuliomaliza na kupata dvn 111 jaman...maana nimeaply lakin hakuna jina langu jaman nikiwa naangalia katika ukurasa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Ni masikitiko yangu makubwa kuona thread nyingi humu JF vijana wanahangaika huku na kule katika kufanya maombi ya program mbalimbali, hasa kupitia NACTE. Katika kupitia thread...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi jamani mbona kwenye guide book ya TCU sijaona mwisho wa kuomba vyuo? Ina maana hamna mwisho au mfumo unakuwaje?
0 Reactions
19 Replies
6K Views
jamani mi nlikuwa nauliza kwa wanaojua hivi bodi ya mikopo inaposema mwsho tarehe 30 kupokea maombi inaansha ni mwisho kwenye system tu au hata posta au ukichelewa kutuma hard copy ulioprint...
0 Reactions
3 Replies
902 Views
Hiki chuo wanafungua lini kwa ordinary/higher diploma 2015/16?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
University of Dodoma imetoa cozi nyingi zikilenga wanafunz waliokosa principle pass mbili yan D mbili lakini kuapply kwenye hizo kozi inatakiwa ulipie tena na wanatumia Central Admission System...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
msaada jamani tafadhali msaada jamani tafadhali
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Katika kitu ambacho kimenikarahisha kupita yote ni kwamba kwa mtumishi yeyote wa serikali anayetaka kwenda kujiendeleza kusoma shahada ya kwanza ni lazima asitishiwe malipo ya mshahara wake wa...
11 Reactions
38 Replies
5K Views
hivi caurse ya "BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN PRIMARY EDUCATION" unakuwa mwalimu tu au inakuwaje maana hili neno TECHNICIAN limenichanganya kweli
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Mbona Kuna watu wanadai wamesha apply DIPLOMA hii round mpya ya sasa wakati mimi nikiingia naambiwa Certificate tuu vyuo vya DIPLOMA sivioni au computer zimetofautiana!!!!!?
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Habari za kazi wakuu? Mm nimesoma diploma nataka nijiunge na degree na vigezo ninavyo.. Naomba muongozo jinsi ya kuapply ni TCU au NACTE? Procedures zikoje? Msaada wenu wataalam plse.
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Wadau mwenzenu nipo njia panda hivi Ndalichako anaposema atawatoa watu vyuoni. Je hii inahusisha hadi waliomeet minimum entry za miaka ya nyuma ila kwake yeye hawana vigezo, au ni wepi hao...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwa aliyepata adm.no.na barua ya kuahilisha masomo mwaka jana...lakini hakuomba mkopo, kwa mwaka huu ili apate mkopo kuna cha ziada katika form ya maombi hayo.? Kwa anefahamu please.!
0 Reactions
0 Replies
721 Views
samahani jaman msaada plz mim nataka kuendelea na degree nililipa pesa yangu nacte kabla hawajasema tunatakiwa kuaply TCU je kuna tamko lolote limetolewa kwa sisi tuliolipia nacte au ndo pesa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom