Kwa wale wote ambao hawajaapply nacte na ana vigezo vyote
natoa msaada wa kujitolea ila uwe na vtu vyote vinavyohitajika
mawasiliano 0766414834(whatsapp)
Habari wana JF toka juzi NACTE walivyotangaza kuanza kupokea application za diploma nmekua Nikiingia kuapply but nakuta kozi za certificate pekee yake but za diploma hazipo inakuwaje hapo wana JF...
Habari zenu wana jamvi!!
Nina mdogo wangu aliechaguliwa kusoma education lakini hakuripori chuoni, sijui utaratibu ukoje, kwa mwenye kujua Tafadhali naomba anijuze
Habari wanajamvi!
Tukumbushane misemo, salamu au mistari ambayo tumekutana nayo kwa kusoma vitabu mbalimbali hususani wakati tupo shuleni.
Mimi binafsi bado nakumbuka hii;
1. "People of...
Kila mwaka nchi ya Tanzania huungana na nchi nyingine duniani kote kuadhimisha wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama.Kwa sababu unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee ni muhimu katika ukuaji na...
Niliaply mwaka jana kwa vigezo vya Tcu 2 point cut off kwa maana ya E E nikaahirisha mwaka wa masomo chuo na kupewa barua ya kukubaliwa kuahirisha mwaka na kutakiwa kutoa taarifa ya kwendelea na...
kuanzia mida ya jioni page ya TCU ilikua haifunguki ila NACTE ilikua inafunguka lakini mda sio mrefu tena nayo NACTE haifunguki au ndo wamefunga kabla ya tarehe 5
naomba kuuliza swali moja tu kuhusiana na uombaji wa vyuo kwa wahatimu kidato cha sita mwaka huu!!
swali langu ni kama ifuatavyo:-
kwa mtu ambaye alipata division three pia mwenye D moja Na E moja...
Salama wanajamvi.
Tafadhali kwa mwenye kufahamu ada za vyuo vya ualimu vifuatavyo anisaidie:
1. St. Aggrey Chanji College of Education and Business Studies (Sumbawanga)
2. Archibishop Mihayo...
Njoo Halmashauri ya Geita nije moja kati ya mikoa/wilaya zifuatazo;
Dodoma Municipal
Morogoro Municipal
Kibaha
Bagamoyo
Korogwe Mji/DC
Tanga Jiji
Dar es Salaam.
Idara-Sekondari.
Mawasiliano...
Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe...
Ninaye dogo hapa kamaliza kidato cha nne ana 4 ya 26. anazo c mbili na D tano. niliomba chuo cha kilimo hapa Mwanza. Kupitia chuoni mpaka sasa naona jina lake halikurudi. Je nifanyaje au niombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.