Kuna kijana mmoja kafaulu kidato cha nne 2015,lakini hajapata post ya kwenda kidato cha tano wala chuo cha ufundi ......
Yupo streesed anajiulza afanyaje....
Anayejua plz...tusaidiane ktk hili...
Hey friends, Kuna ndugu yangu nlikuwa namfanyia application kwa tcu, wakat nafanya adding ya re-sit kwa form 4, naletewa error inasema redundancy error, kama Kuna mtu ashaipata hii error, na how...
6:4:2:3+ UFANYIWE MAREKEBISHO HAYA YA MSINGI KUNUSURU ELIMU YETU.
NA ALLY RAMA.
Naandika maoni Haya nikiwa na imani kubwa kuwa itawafikia walengwa na maoni yangu yatachukuliwa kwa uzito Mkubwa...
Kwa wale wanaopenda kusoma nje ya nchi kuna fursa kwenye hizo link hapo chini.
Changamkieni wakuu
http://www.tcu.go.tz/images/documents/FURSA_ZA_MASOMO_CANADA.pdf...
..watanzania hasa wale wa hali za chini tulishukuru kukuwa kwa sekta ya elimu hasa katika ngazi ya vyuo vikuu, ongezeko la vyuo binafsi lilipunguza idadi ya wanafunzi wenye sifa za kuendelea na...
hivi kama mtu ana d phy, e chem,e bios,e bam, e gs. form six 2016, mbona ndalichako anabana , hatima ya hizi three ni nini wadau[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Hizi ni tetesi, kama tetesi zinaweza kuaminika basi ziaminike.
Kwanza, TCU hawaja release mwongozo wa Equivalents kwa kuwa GPA ya 3.5 inagomba. Hii ni kwa sababu regulation ya GPA haipo standard...
Kuna mtu aliapply mwaka jana akapata chuo lakn kwa kuw ni inservice hakupata ruhusa. Mwaka huu ameenda kuchukua barua akaiambatanisha na maombi ya kufanya udahili upya lakn mpaka saiv akichek...
Habari,,Hivi Kwa Mwanafunzi Aliekosea Kujaza Chuo (FORM YA TCU)Kwa Sababu Mbali Kama Vile Aliweka Taarifa Tofauti Mf.Namba Ya Kumaliza Kidato Cha 6 Je Ni Hatua Gani anaweza Kuchukua??Je anaweza...
Kama inavyojiekeza katika kichwa cha habari wadau, naombeni kujuzwa juu ya ada za shule za serikali za advanced Na kama michango mingine inaruhusiwa,
kuhusu o-level nafahamu ada na michango...
Nimeulizwa hapa nimekosa jibu.
Wakati wa kulipia NACTE naona namba moja ni NACTE namba tano ni NACTE CAS,,Analipia ipi maana mdogo wangu ana mchecheto hapa.
wakuu heshima kwenu
Namsaidia dogo kuaaply chuo but baada ya kujaza page ya pili inaniliete ''sorry,either your payment id is not varid or there was a delay in receiving your payments details...
Pamoja na wengi kuchekelea kupandishwa kwa ufaulu kwenda chuo kikuu point 4 kwa kidato cha 6 na diploma 3.5 kama sifa lingani.
Tofauti na miaka yote wanafunzi wote wa masomo ya Sanaa(Arts)...
TCU katika maelekezo yao ya vigezo vipya vya kujiunga na Vyuo Vikuu Nchini walisema pia kuwa Foundation Courses, Bridging Courses, na Access Courses zimefutwa kama njia ya kuingia Chuo Kikukuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.