Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Aisee TCU bora mngeturudisha NACTE tuapply huko. Au kama mnashusha GPA mtuambie kwahilo tutasubiri tuu maana hamna namna nyingine. mpaka leo tarehe nne hamna guide book ya equivalent wala...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Mtihani wa kumaliza elimi ya Msingi yataanza rasmi JUMA TANO - 07.09.2016 na kumalizika ALHAMISI - 08.09.2016. Hivyo neema ya Mungu iwe pamoja nanyi mnapofanya maandalizi ya dakika za mwisho...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari ndugu Watanzania! Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
nacte unatumia mfumo gan wa kuchagua wanafunzi wa kujiunga na diploma coz unakuta kama sasa HV wameshaanza kuchagua halaf mweny div 2 anaachwa lkn mwny div3 anachukuliwa na ukiangalia wanasema...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Samahani Wana jf naomba mnisaidie ktu kimoja. Mimi nimemaliza foundation course mwez wa sita open university mwaka huu. Je TCU watanikubalia kuchukua degree?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu humu ndani naombeni kuuliza nikiingia kwenye website ya TCU nikitaka kuuapply for degree inadai the system is closed and will be opened on 31st July 2016. Sasa cha kushangaza mpaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawasalimu wanajamvi, Naomba mwenye ufahamu wapi naweza kupata database ya shule (msingi na secondary) zote Tanzania anijuze. Nashukuru.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello Guys! Here is Study abroad Opportunity: The Gates Cambridge Scholarship programme was established in October 2000 by a donation of US$210m from the Bill and Melinda Gates Foundation to the...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu nko na rafika yangu amefanya application NACTE jumamosi. Yani sasa hvi amenipigia simu kanambia kua alijaza CERTIFICATES badala ya DIPLOMA na deadline ya kuapply ni leo usiku... Tusaidiane...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ana vyeti 2 vya form iv, manake alirudia bahadhi ya masomo ili kupata credits. Kwa sasa akitaka kulipia ile 50000 ya tcu anatumia namba ipi tafadhali. Napiga simu sana tcu ila iko bize saaana.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
NACTE wamebabaisha kweli kwa sababu wameshindwa kuweka hata takwimu ya walioapply idadi yao na walioachwa idadi yao na waliochaguliwa pia wametumia sifa gani kuwachagua. Hii nchi imepoteza...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Naomba kujua wenzangu waliopangiwa Chuo cha kcmc koz ya community health,Chuo kinafunguliwa tarehe ngapi ,nitawezaje kupata form ya Chuo nisaidien waungwana
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilikuwa nataka kukijua vizuri hiki chuo cha Institute of Tax Management ndugu zangu Ni moja ya chuo nilichoomba tcu Course hii Barcheol degree in customs and tax management Na je ni course...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Kama unaweza andika , edit proposal kwa level ya post graduate au graduate njoo PM .. Guidelines na kila kitu utapewa ..
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Nimeona tangazo la NACTE la leo tarehe 29 July linalowaomba walioomba vyuo vya ualimu vya serikali wasifute machaguo yao wasubiri utaratibu utakaotolewa hapo baadaye. Wengine tayari wameshafuta na...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa anaefahamu anieleze jinsi ya kuitambua course nlioomba tcu ( degree) niangalie wap nijue idad ya waombaj wa course hiyo mana naona pana priority 1 priority 2 to priority 5 kisha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Website ya TCU haipatikani toka jana, nifuwate taratibu gani kuapply. CAS. www.cas.tcu.go.tz
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba msaada kitabu kizuri cha head and neck anatomy ni kipi?
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Back
Top Bottom