Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajamvi mm nimiongoni mwa wanafunzi niliochaguliwa kwenda msumbiji lakin kwa bahati mbaya serikali ilizuia program hii, nakuahid kwamba wanafunzi watapangiwa vyuo hapa hapa nyumbani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jf natanguliza shukuran za dhat kwenu naomben anaefahamu juu ya chuo cha cbe dar es salamu joing instruction muda wa kuanza kusoma na ada yake inakuwa minimum kias gan kwa mwaka huu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani naomba kujua kozi hiyo inahusiana na nini? Unasomea utaalamu gani?
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana jamvi habari zenu. Naomba kufahamu kwa mwenye ujuzi juu ya kozi hii mbali na masuala ya library ni kitu gani pia unaweza faidika nacho kama utasomea hii kozi? Bachelor of Arts in Library and...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Please please, jambo hili linanitatiza, hebu nipeni ufafanuzi. Nilirisiti masomo 7 mwaka 2015 na matokeo Bio-B, Phy-C, Chem-B, math-B, Geo-C, Kisw- C, Islam B. English sikufanya na hapo mwanzo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wahitimu wa form six napenda kuwajulisha pia wakati mnachagua degree program pia kuna program kama za bachelor's of science in. Chemistry, biology, physics, mathematics and statistics. Watu...
6 Reactions
85 Replies
9K Views
Vp kuhusu mtu alosoma foundation course je akiomba kusoma degree mkopo anapata coz m nimesoma open masomo ya science physics chemistry na biology
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomben ushauri nmemaliza form 4 Nina 4ya 26 nisomee kaz Gan ambayo haisumbui katika ajira
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mm Ni Mhitimu Kidato Cha 6..Nimeapply Chuo Na Nimeshaprint Tyr Ila nikifungua Account Yng Naletewa Ujumbe Huo Kama Unavyoonekana Kwenye Picha.Je Ndivyo Inatakuwa Kuwa hivyo Au hapo bado...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kuna dogo form 6 kafukuzwa shule kisa kaextend likizo kwa 1 month. Kama kuna mtu anaweza kujua procedure za kufuata ili dogo arudi shule hata private kwa sababu pale wamegoma kumrudisha...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Jaribu kufanya reasech ya kuanzia mwaka 2012-2016 elimu hii hii inayotolewa nchini utagundua ni ya ubabaishaji,kwa mfano tazama kwa mtu aliyepata division 3 ya mwaka 2012-2015 hao wote wameenda...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
NACTE nimewatafuta but hawajarespond chochote. Nina kosa ndio, mimi ni form IV leaver nimeapply kwa awamu ya pili vyuo vitatu vya technology, ngazi ya diploma lakini nikaja kugundua kuwa guide...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naomben msaada wenu juu ya vyuo gan naweza kwenda baada ya mipango yangu ya kwenda advance kutoielewa, nimemalza 4 last year with DIV 3 of 24 bt ckubalance comb
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Please please, jambo hili linanitatiza, hebu nipeni ufafanuzi. Nilirisiti masomo 7 mwaka 2015 na matokeo Bio-B, Phy-C, Chem-B, math-B, Geo-C, Kisw- C, Islam B. English sikufanya na hapo mwanzo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimelipia NACTE tokea tarehe 31/07/2016 hadi sasa hawajanitumia USERNAME na PASSWORD Nimewapigia namba zao Nyingi Hawapatikani na nyinginezo ni bize sikuzote hizi nne muda wote......Nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dogo angu kasoma HGE sasa msaada please anayezijua kozi za degree zenye priority ya kuajiriwa na mkopo za hiyo kombi PLZ.
0 Reactions
2 Replies
962 Views
NACTE yaamua kufuta uteuzi wa wanafunzi ambao waliokuwa tayari wameshachaguliwa kujiunga na vyuo ni wale wa second selection yaanza upya tena haiwahusu first selection Hii elimu yetu sijui...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari, Naomba nifikishe ujumbe huu kwa Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Mjaliwa na Waziri wa Elimu wa Tanzania Mh. Profesa Joyce Ndalichako, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania ni jipu kubwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kujua zaid RPL ni nn wakubwa na je ni sawa na foundation ya zaman au kuna utofauti
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Back
Top Bottom