Heshima kwenu wakuu, naomba kuuliza kama kuna chuo kinatoa post graduate diploma in Monitoring and Evaluation, nataka kujua location, duration, tution fee etc.Kwa sasa nipo Mbeya ingawa sio...
Jamani Habarini wanajukwaa kuna vitu ambavyo pia vinaleta maswali kidogo kwa TCU ...! Iv wanaposelect huwa kuna matokeo aina mbili o level na Advance kwa wale 4m six leavers ,swali je matokeo...
[Learning Environment and Mathematics Achievement: A Comparative Analysis of the Situation Across the 14 SACMEQ Countries] is good,have a look at it! Learning Environment and Mathematics...
Nimepitia uzi mbalimbali naona watu wanalalamika kuhusu GPA 3.5, yaa asikwambie mtu hio GPA ni kubwa kwa kweli uliza walioko chuo watakwambia B flat bado 3.5 haijafika hii ni kutokana na chuo...
Wakuu salam, ninatafuta shule kwa ajili ya ndugu yangu form five kwa mchepuo wa CBG shule iwe mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma au Njombe iwe ni private yenye kufaulisha vizuri, iwe ni boys tu, kwa...
Hizi ndizo sehemu unazoeza kufanya kaz as mechanical engineer .......
Aerospace industry –
researches, designs,
manufactures, operates and
maintains aircraft
Automotive industry –
designs...
Ninahitaji kujifunza excel ordinaly na advanced.niko mbeya mjini,
kwa yule mwenye ujuzi au anayeweza kunipa maelekezo sehemu ya kupata ujuzi huo ndani ya wiki moja.pesa ya kulipia huduma ipo...
Maana kila waziri anaekuja anakuja na yake.ifikie hatua sasa tuweke Sera ya elimu.kila waziri akija kazi yake iwe ni kutekeleza tu na SI kuanzisha vitu vipya.wote mnakumbuka mnamo 2005/2006
Masomo...
Hi wana jf
Mdogo wangu amehitimu form six mwaka huu kwa kupata matokeo yafuatayo
Physics-D
Chemistry-C
Advanced Mathematics-C
Yaani division two of point 10....
Sasa anawasiwasi kama...
Wakuu ningependa kufahamishwa kwa undani kuhusu hii kozi hususani;
◇vyuo vinavyotoa kwa hapa Tanzania.
◇hitaji lake katika soko la ajira.
Pia kwa anaye soma kozi hii au aliyemaliza anipatie...
habari wanajamvi mm nimemalza f6 mwaka huu na mamshukuru Mungu nimepata div two ya 10 phy d chem c bios c bam s g.s e...nimeomba hv HUBERT KAIRUKI,ST.JOSEPH,CUHAS phamacy,ARCHBISHOP JMS,KCMC kwa...
Katika kupeleleza course mbali mbali zitolewazo na baadhi ya vyuo hapa nchini, nimeshindwa kujua au kupata contents au modules za degree kadha wa kadha kwa vyuo kadha wa kadha.
Ningependa kujua...
Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.