Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ni dhahiri sasa serikali inapitia wakati Mgumu, bodi ya mikopo wamekiri kuwa hadi sasa hakuna pesa za mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa vyuo. Lakini pia kuna taasisi kadhaa nchini hasa zile...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Totally bored, application inaelekea kunishinda. Nilifanya application mara ya kwanza lkn sikufanikiwa, sasa nilitaka kulog in inatakiwa username na password. Password nmeisahau na ilitumwa km...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu kuna chuo kimoja cha serikali kinatoa hii kozi kwa level ya diploma, je hii kozi imekaaje maana ni ngeni masikion mwangu? na je kunachuo kinachotoa degree yake? na vip kuhusu ajira zake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana jamiiforum mimi ni kijana niliyehitimu form six mwaka 2016 namshukuru mungu nmepata division 2 ya point 10.Ila mimi O level nilisoma shule ya private na pia A level ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana jf naomba kuelekezwa katika hili . Kuna mdogo wangu amefanya aplication Nacte ila ameomba kwenye vyuo vya ualimu sasa alitaka kuhama huko na kufanya aplication kwenye vyuo vya Afya sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakubwa naandika kwa uchungu na hisia toka moyoni mwangu, ikumbukwe mnamo mwaka 2013 waziri wa nishati na madini alianzisha ile inayoitwa "the marshal plan" lengo la huu mpango mkakati ilikuwa ni...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanajamii hivi ni ipi tofauti ya kati ya course ya miaka 4 na ile ya miaka 3 na ipi ni ??
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kama uzi unavyosema kuna kitu kimoja sikielewi ukishaomba programs zako kama ujaprint inamaana taarifa zako na kozi ulizoomba kure awazioni inakuwa kazi bure au nikwamba atakama ujaprint taarifa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kama uzi unavyosema kuna kitu kimoja sikielewi ukishaomba programs zako kama ujaprint inamaana taarifa zako na kozi ulizoomba kure awazioni inakuwa kazi bure au nikwamba atakama ujaprint taarifa...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
wale waliokwisha kua ply kupitia nacte, naomba msaada jinsi ya kuweza kubadili machaguo yangu niliyoyaweka katika kozi za vyuo vya afya, kwani nikienda kwenye kufuta machaguo kuna Maelezo ambayo...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
hivi wanajf..katika hivi vyuo kati ya ardhi na sua...ni course gan ambazo unazikubali sana...hpo kati ya hizi hapa na kuhusu hasa soko la ajira bongo....kati ya hizi ARDHI- bcs of land management...
0 Reactions
15 Replies
39K Views
Dogo wangu nimemfanyia application nacte, kwa ajil ya certificate, so ni mda GANI unachukuwa mpaka kupangiwa chuo kama itakuwa amepata? Plz help me anaejuwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
removed by the USER
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Naomba msaada wanajamvi mawasiliano na TCU kwani kwenye namba zao ni moja tu inapatikana ambayo ni +255683921928 na hii iko zaidi ya busy ataukiipiga usiku iko busy au ikiita haipokelewi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa kwemaaa...naomba kujua chuo gani Tz kinatoa MSc (Statistics) bora with reasonable fee, nataka kujiunga this yr 2016....help!!
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habar wana jf msaada kuhusu izo kozi hapo juu ipi iko poa na kazi yake iko vip na ipi ina soko katika ajira kuliko nyingine
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajukwaa naomba ushauri wenu, Naomba kuuliza iwapo kwenye cheti changu jina la kati lilikosewa kule NECTA je naweza kuwa majipu anaowasaka Ndalichako?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
abari zenu wana jf ninaitaji msaada wa ushauri kati ya izi kozi _Bachelor degree in procurement and logistics management vs _Bacherol degree in human resources management yepi ambayo...
0 Reactions
4 Replies
962 Views
naomba kufahamishwa kuhusu hatma ya diploma ya primary bado IPO au imefutwa..mwenye info plz tujuzane
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom