Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kati ya course hizo mbili sielewi tofauti yake nime ona SUA wanatoa lab technology miaka 2. JE ina tofauti kwenye kazi na hizi course za maabara kwa upande wa afya. Upande wa ajira? Ipi ni bora...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Nilikua namfanyia mtu application ila kwa bahati mbaya nimenunua ID mbili za mpesa kimakosa..sasa hii moja siitumii kwa hiyo naiuza 0755854402
0 Reactions
1 Replies
707 Views
Bodi ya mikopo ilisema field practical isogezwe mbele kwa wiki mbili kuanzia tarehe 25.07.2016 na wanufaika wataingiziwa pesa hizo wakiwa nyumbani ili ziwawezeshe kwenda field. La kushangaza...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Baada ya kuulizana mara nyingi, leo wameissue call for application ambayo kipengele No. 4 kina hiyo deadline. 4.0 Deadline for applications The deadline for applications for all applicants who...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Naomba kufahamishwa kwa fom6 yeyote aliemaliza 2016 na ameshachukua result slip yake, Je ukipata daraja E unaandikiwaje? principal pass, pass, satisfactor au unsatisfactor. Tafadhari kwa fom6 wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau niomba mnisaidie kuna mdogo angu amepangiwa chuo cha KCMC school of nursing. Email aliyotumia wakat wa kuaply haifanyi kazi. Naomba mnisaidie kwa yeyote alie karibu na chuo hicho...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Fursa Ufadhili Masomo (Masters degree) Uingereza kupitia scholarship ya "Chevening" Scholarship za Chevening jana Agosti 8 zimefungua kupokea maombi kwa mwaka ujao wa masomo 2017/18. Kwa wale...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasaalamu! Ni kweli na hakuna kipingamizi kuwa Elimu kwa sasa ndio mkombozi wa Maisha kwa Watanzania tulio wengi! Bila kujari ni Level Gani ya Elimu lakini pale mtu atakapo jua kusoma na Kuandika...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello wana JF mliotukuka ...mimi nina shida moja Nataka nilipie mitihani ya CPA(T) nina mpango wa kufanya mitatu sasa sijapanga kusoma tuition yoyote ile(nataka nipige msuli wa peke yangu) lakini...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
TULIOCHAGULIWA CHUO HIKI TUKUTANE HAPA KWA COURSE YA CERTIFICATE IN ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION JE?VIPI KUHUSU AJIRA ZAKE?BAADA YA KUHITIMU VIPI KUHUSU MAZINGIRA YA CHUO??VIPI KUHUSU UFADHILI WA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 Date Posted: 8th August 2016 14:46:59 Posted By: NACTE Baraza linapenda...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wakuu na hitaji kujuzwa kuhusu chuo cha st fransic university kuhusu sifa za chuo , na mazingira ya ifakara maana nimechaguliwa kujiunga huko baada ya kukosa vyuo vya serikali kukuta...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
*TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA ELIMU YA JUU NCHI NZIMA WANAOHUSIKA NA FEDHA ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD).* *TAHLISO* imekuwa mstari wa mbele sana katika kuhakikisha fedha hizo zinalipwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale walio apply second majina ya natoka vipi kama ume sha cha guliwa MHIMU
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Aliyesoma medical laboratory atujuze uzuri wa koz hii na ipoje
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Wakuu heshima zenu, Leo nimeamua niingie kivingine kabisa. Kwanza mkumbuke mimi ni mbunge mtarajiwa wa jimbo mojawapo la mkoa mmojawapo wa kanda ya kaskazini. Hebu tuachane na mambo ya ubunge...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
je inawezekanaje mtu kusoma chuo kilicho sajiliwa na nacte pasipo kuwa n cheti cha form four ? haswa hiz coz za certificates na diploma
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Selection za awamu ya pili nacte vyuo vya afya zitatoka Lin?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza kabisa nimpongeze waziri wa elimu kazi yake nzuri anayoifanya katika sekta yaelimu..... Siwezi kusema moja kwa moja ni kwauzuri gani kwasasa kwakuwa wizara hii ni kama kivuli amakitengo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wandugu , ninapenda sana philosophy na nataka kuapply hiyo degree pale chuo cha mwalimu nyerere ila ngependa kupata info japo kidogo kuhusu hiyo coarse kwa anayefaham baada yakuhitimu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom