Come with questions about economics,accounts,and commerce.You will get clear answers and their application(s) in different life scopes not just for passing your final exams
kuna jamaa kanitonya hii kitu.....
kuna tetesi za kutengezwa kwa Central Employment System kwa kifupi CES ambapo walimu na watumishi wa sector zingine za afya,maji etc watatakiwa kuomba kazi...
Mimi napata shida kuhusu NACTE, tulifanya maombi ya degree mapema kupitia NACTE kabla hata TCU lakini ilikuwa ukiingia kule kwenye systeam yao Vyuo ilikuwa ni kidogo walivyoeka hasa kuhusu course...
TCU hapo Mwanzo Walisema Kuwa Watafungua Milango Ya Kupokea Maombi Ya Wale Diploma Holders Siku Ya Tarehe 31/07/2016, Lakini Cha Ajabu Leo Wametupiga kalenda Nyengine Kwa Kutangaza Rasmi Kuwa...
Hv Wakisema Hv Wanakuwa Na Maana Gani Kwa anaejua Naomba Msaada
"Two principal passes in any subjects. If one of the
passes is not in Mathematics a Subsidiary or Pass in
Mathematics at “O” level...
Hivi chuo cha St Joseph ni kizur kwa MD ??
Na wanatumia hospital gani kufanyiwa practicals??
Na walimu wao ni wazur??
Naomba msaada kwa anayekijua vizur
Kwa anaefahamu ile scholarship ya Algeria kwenye website ya TCU naomba kufaham ile course ya english language unaenda kusoma nini celew unaenda kusoma english kivipi au unaenda kusoma english...
Naomben kwa wenye uelewa wanisaidie kunipa majibu ni ipi course yenye soko La kujiajiri au kuajiriwa pia kati ya hizo
NB: zinatolewa Unique Academy Dar Es salaam kwa degree level
Ningependa kupendekeza elimu yetu iwe yenye kuwaruhusu wanafunzi kujisomea wenyewe,kuchunguza topic,kuja na findings na kuweka hitimisho wenyewe.....
Sio mfumo wa sasa ,ambao unatu spoon feed...
Habari wadau? Nmeona wengi wakilalamikia vigezo vipya vya TCU kuwa vimewazuia wengi kwenda university. Me nawashauri msikate tamaa hata kidogo!
Jambo jema na la msingi kwa sasa ni kwanza tafuta...
Lengo la makala haya, ni mwandishi kujaribu kuunga mkono baadhi ya watanzania ambao wamejaribu kupigia kelele ufundishaji wa falsafa katika mfumo wetu wa elimu. Kwa hiyo ni mapaendekezo ya kutaka...
Vp wana jf
Ninaomba yeyote yule mwenye uwezo wa kunipatia maswal ya language one na two advanced level ya necta examination anisaidie au anipe maelekezo nitapataaje??
Please nisaidieni
SERIKALI imetangaza mwongozo mpya kuwa kuanzia sasa masomo ya sayansi ni lazima kusomwa na wanafunzi wote wanaosoma elimu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kwa mujibu wa Sera ya...
Jamaa akirudi au mzungu kutoka Ulaya na degree yake aidha ya kwanza (Bachelor), ya pili (Master's), au ya tatu (Doctorate) ni wa kuangalia kwa makini kwani huko nako watu wanaandikiwa dissertation...
Masikini wale wa Diploma wamesahauliwa kikweli kweli kwa sasa!!
Hawana GuideBook! Hawana Tamko! Hawana Wa Kuwatetea!! NACTE wametemwa! TCU haiwatazami! Ndalichako Kawasahau!!.
Haya Form 6 kila la...
Naombeni Msaada wadau wa jukwaa la elimu kuhusiana na hyo faculty iko poa hasa kwenye soko la ajira hata katka kujiajiri mwenyewe.maana nimeiweka katika priorities zangu nilizo chagua.lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.