Jamani embu nielezeni kipi kinafuata kwa sisi tuliomaliza fom six na tukafaulu na tusha apply vyuo.
Nini kinafuata hapo mbele? Na ni kwa muda gani?
Tusaidiane jamani!
D inaanzia 50-59, E 41-49, hiyo D ni B mwaka jana na hiyo E ni C mwaka jana halafu mtu amesoma kombi complicated PCB, PCM au PGM at the end of the day hamna chuo tena taarifa inakuja baada ya...
Hbr ndugu zangu wana_JF,
Naomba kuifahamu hii kozi ya educational technology inahusiana na nini na ukisoma unaweza kuwa nani na kufanya kazi gani?,
Kwa yeyote anayeifaham naomb jaman please...
Wanajamvi naombeni msaada,
Nipo nalipia NACTE kupitia M-pesa ila nikifika sehemu moja inaniambia niingize namba ya akaunti. Hapo mbona sielewi?
Hiyo namba ya akaunt ni ipi? Msaada please...
Habari! Wana jamvi,
Kwa wale wanaotegemea kuomba shahada ya kwanza(degree) kutokea diploma kwa kozi mbalimbali hapo kesho dirisha linapo funguliwa kupitia TCU tukutane hapa wakuu kupeana taarifa...
Habari za muda huu wana jukwaa kuna kitu kinanitatiza kidogo katika application za NACTE especily upande wa education awali mfumo ulipo funguliwa kwa walioaply upande wa education ulikuwa ni...
Ilo ni bweni mojawapo la kidato cha tano hapo kibaha boys.
Kwanza nipende kuwapa pongezi sana kwa kuchaguliwa special school.Cha msingi mkifika hapo shule ni kuanza kusoma kwa bidii(msuli) kwa...
Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi...
Ni imani yangu kuwa mko salama wakuu.
Ni kwamba nina mdogo wangu anasoma masomo ya Chemostry, Biology na Agriculture (CBA) katika shule moja ya serikali.
Nahitaji ahamie kwenye private school...
Nimsaidiaje huyu dada?
Hakuchaguliwa mara ya kwanza ila sasa anataka abadilishe course ya kusomea. Hajui asome nini na alisoma Arts O-level matokeo 4 ya 28 halafu leo mwisho.
Ukijisajili utachagua masomo matano kama ya form six utasoma masomo hayo mwaka mmoja. Ukipata average ya 50% kila somo atajiunga na degree direct baada ya kumaliza mwaka mmoja. Lakini lazima uwe...
Jambo Tanzania! Hivi mtu aliyesoma degree ya kwanza (Bachelor of Education Mathematics) yaani haina "in" na "with" anaweza kusoma degree ya pili (Masters of science in Mathematics) bila ya kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.