Kumekuwa na wimbi kubwa la kuporomoka kwa maadili ya watoto walioko mashuleni, kiasi kwamba sasa si jambo la ajabu kusikia mtoto wa kike ana ujauzito au mtoto wa kiume ana mpenzi. Hali hii...
Nawasalimu ndugu zangu.kumekua na matamko mbalimbali juu ya swala la ajira hatimaye raisi akafunga milango mwezi na nusu umeisha ivo..." Haitazidi miezi miwili" lakini mara issue ya vyeti feki...
NACTE WABABAISHAJI NA VYUO WALIOCHAGULIWA WATU HASA VYA SERIKALI NI MAJIPU MFANO.VYUO VYOTE VYA LITI,AFYA ,UALIMU NK KUNA MDOGO WANGU AMECHAGULIWA CHUO CHA MIFUGO LITI MOROGORO MPAKA SASA HIVI...
Kama kichwa cha habari kinavosomeka kuna course zile za non priority baadhi ya course wameandika non priority lakini possible loan amount wameeka kiasi lakini nyingine kwenye possible loan amount...
Mambo....Hello..Hi
Is an Advanced Diploma the same as a Bachelor's degree in Tanzania?
What are the similarities/differences in exit options?
Anything else one should think about if one doesn't...
Wakuu habari zenu, tafadhali kwa anayejua chuo cha kilimo Igurusi Mbeya amjuze mdogo wetu amechaguliwa huko. Vipi kuna neema au chenga wakuu wanaokijua?
Watu wengi wanawalaumu nacte kuwa mbona safari hii hawaeleweki juu ya nafasi za vyuo vya serikali, ni kwamba kumbuka vyuo vya serikali vimejaa vyote, na hii inatokana na kiwa wanafunzi wa dodoma...
Wakuu naombeni msaada wenu, nimemaliza kufanya selection kwa maana nimeshajaza vyuo 5 as maximum sasa nataka kujua kama ukimaliza kuna kuconfirm au kusubmit au ukimaliza unaacha vile...
Wadau kichwa kinaniuma kuhusu DIPLOMA holders NACTE PAGE yao ipo kimya kuhusu dipl kwenda degree,TCU wapo kimya Walitoa ukurasa kuwa 31 Aug 2016 Tcu Cas itakua imefunguka ila mpaka sasa hata...
Naomba kujua zaidi kuhusiana na course tajwa hapo juu ngazi ya diploma ajira zake na umuhimu katika hiyo taaruma na kingine hivi hii course ina mda gani.
Elimu ya Tanzania imekuwa chungu kweli ukizingatia zimebak siku chache na wanafunzi wa diploma kwenda vyuo vikuu ni kama vile wametelekezwa au ndo hamna thamani.
Pili vijana waliopata div 3 ni...
Jamani kama bado una shida na NACTE haujaapply hadi sasa hivi natoa msaada wa bure kabisa. Kama una shida yoyote niulize ili ukamilishe usajili wako.
Na vyuo navyo competition ni kubwa sana hasa...
Nacte yavifutia vyuo 5 nchini, 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo Na 175 vapewa notisi ya kushushiwa hadhi...orodha ya vyuo vitano vilivyofutiwa usahili Na NACTE viko hapo kwenye picha. Source ITV...
Wanabodi,
Nimejaribu kuangalia namna malipo ya michango inayotakiwa kulipwa katika shule mbalimbali za serikali kwa upande wa ''advance level'' kama ilivyowekwa katika website ya wizara husika...
Samahani jamani mdogo wangu kachaguliwa chuo hicho kusoma certificate ya journalism. Naomba kwa anayekifaham hicho chuo anisaidie kujua.
Kipo Morogoro sehem gani? Naomba nisaidiwe mawasiliano yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.