Wadau,
Amani iwe kwenu,
Hivi Wizara ya Elimu kufuta utaratibu wa kukariri darasa kwa wanafunzi wa kidato cha pili watakaofeli ni jambo jema kwa elimu yetu? Maana wakifeli wanaenda tu kidato cha 3.
Hakuna mtu aliyemaliza form six atakayesoma post hii kisha akasign out bila kujiuliza haikuwa bahati kupitia post hii ,Hakikisha unapoenda chuo chagua course unayoipenda na kuijua na siyo course...
Ndugu, nipo Mbeya na nina mpango wa kusafli kwenda nje ya mkoa kiasi kwamba naweza kuchelewa kurudi. Ambae anajua lini result slips zitakuwa tayari aniambie ili nijue kama uwezo wa kusubiri upo au...
Habarini wadau kuna vyuo vya kilimo mf. Igirusi Mbeya wametoa sponsorship kwa ngazi ya diploma.
Hivi mtu akipata hiyo je anaweza akaajiriwa ama soma uondoke, tafadhali wenye kujua hili waje...
Wadau ninatafuta shule ya A-level mchanganyiko ya bei poa boarding. combi inayobalance ni CBG.
ninahitaji kwa haraka
nikipata pia Chuo cha ualimu ambacho ada yake ipo chini cha boading...
Wasalaam ndugu zangu watanzania.
Jana usiku nilikuwa nikimfanyia mdogo wangu application kupitia Nacte. Baada ya kujaza taarifa za awali ilifikia mahali ambapo nilitakiwa kuhakiki taarifa za...
Husika na mada tajwa hapo juu.Kwa wale waliochaguliwa au wanoenda kusoma kam collage tukutane hapa mambo muhimu yanayohusiana na chuo hicho.NAWASILISHA
Diploma Zote zimeandikwa. Ordinary diploma in primary education in service na nyengine imeandikwa kama ivo but mwishoni ni pre service swali ipi ni ya shule ya sekondari wanajamii for
Wana jamvi natafuta materials za history , kwa ajili ya mtoto wa kidato cha tatu au nne, kama vile sample question, essays ambazo zinaweza kumsaidia mwanafunzi wa Tanzania kujiaandaa vizuri kwa...
Natumaini wote ni wazima wana jukwaa la elimu.
Kilicho nitokea mpaka kuweka huu uzi ni kwamba sijui kuna tatizo gani NACTE jumapili ya tareh 31 mwez wa July kwenye profile langu la CAS kupitia...
Habari
Ninaomba kufahamishwa kama serikali imetoa muongozo wa hatima ya wale waliosoma stashahada (diploma) na wakapata GPA ya 3.4 kushuka chini..... yaani Lower second (achana na pass).
Muda...
Wakuu kichwa cha habari kinajieleza ,pia kuna taarifa kuwa waliomba awali na kukubali wamesitishwa na kidato cha nne wote wanaanza ngazi ya cheti je kuna ukweli hapo???
Baada ya zoezi la uhakiki nchi nzima, naishauri ofisi ya rais TAMISEMI kuachia hadharani majina ya uhamisho ndani ya saa 36. Mkisoma ujumbe juu ktk kikao cha kesho cha chai mlijadili ktk mkazo...
Serikali imeondoa kipaumbele(Priority) cha kupata Mkopo kwa masomo ya ualimu wa sanaa (Arts).
Kozi zote za ualimu wa sanaa zimewekewa "Non-Priority" kwenye column ya Loan priority.
Chanzo: TCU...
Habari wana jamvi! naomba kufahamu kwa yule aliyesoma diploma ya account, mfano akapata GPA 3.8, je anaweza akachukuliwa SUA au kingine chochote kinacho dahiri kozi hii husika(Agribusiness)...
Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa na kwa kuzingatia maamuzi ya kuboresha elimu sambamba na kuwa na wasomi wa kada ya kati, naona hivi karibuni serikali yaweza kuja na maamuzi kwamba kila anayehitaji...
nataka niende kuaply chuo cha diploma ila cjuh v2 gani vinahitajika wakat wa kuaply mfn vyet mi ni mhitimu wa kidato cha sita.mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie jamani
Kama wewe ni mwanafunzi unaekwenda nje kusoma ningependa kujua kama haukupata usumbufu wowote kwenye kutengeneza passport coz wananigomea kwasababu sina admission letter na admission letter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.