Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
habari wana jf, naomba kuuliza mwisho wa kufanya application ya diplo sua ni lini kwa wale form six wlokosa d mbili za bachela. nifahamisheni wadau
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hadi leo ukimwuliza mwalimu, mwasibu, afisa ugavi, afisa kilimo, na wengineo wenye stashahada nini matumaini yake kupata elimu itakayomwongezea maarifa au a nakwambia bora nisingesoma fani hii...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu najaribu kujiuliza ni kwa nini course za engineering naona waombaji wachache?. Has a ukizingatia zile course zilizopo cluster 1,ambazo zinakipaumbele kikubwa cha mkopo mpaka sasa sioni...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
wakuu hii itatoka mda gani????????
0 Reactions
18 Replies
3K Views
ndugu zangu nilikuwa naomba ushauri kati ya petroleum eng na civil eng ipi ni bora zaidi kuisoma kwa kutazama soko na uwepo wa ajira kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mfano Computer Science, Information technology, Information Systems, Software Engineering, Networking, na kadhalika! Share with us!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kama kichwa cha habar hapo juu naomba kujuzwa hizo second selection za kwenda form V zinatoka lini au nichangalamacho maana watu wamesubr sanaa ilaaa waheshimiwa wapo kimyaa
0 Reactions
8 Replies
6K Views
..........,Baraza linaomba ifahamike kuwa vyuo na kozi zilizojaa hazitaonekana tena wakati wa maombi bali kozi zitakazoonekana ni zile zenye nafasi tu. Orodha ya kozi zilizojaa zimeainishwa hapa...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Naomba kama kuna mtu yoyote ambaye anaweza au ana ndugu /rafiki kuniwezesha kupata uhamisho wa kwenda vyuo tajwa hapo juu kwa uwezo na gharama Wowote utakaoitajika nitashiriki ipasavyo. NiPM au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Moja ya features za colonial education ilikuwa ni kuwachuja watu kwa mitihani migumu ili kuwapata wachache ambao wangewatumia kwenye shughuli za serikali yao. Hivyo mitihani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nataka kuapply diploma in primary education but kwenye guidebook ipo lakini nikifanya application zilizopo ni certificate tu ....shida ni nini na snifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna tetesi nimesikia toka kwa mtu wa karibu pale uhaziri tabora kuwa course ya procurement imefutwa..je kunaukweli wowote ktk hili..tafadhar kwa anayejua.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
.
0 Reactions
0 Replies
674 Views
kama uko na swali lolote unalotaka kulifahamu kuhusiana na hii kozi karibu kwa maswali ndugu zangu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimesoma taarifa kwenye website ya NACTE nimeona kuna baadhi ya mambo hayana ukweli kama ifuatavyo: 1: NACTE wanasema kamati yao ya udahili imekaa kati ya July 18 na 21 ili kuchagua walio na sifa...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarin za jion wadau wa JF Ninaomba kujua/kudadavuliwa kuhusiana na hiyo course hapo juu inahusiana na nini au watu wake wanajishughurisha na nin. Ni upi uzur na ubaya wake katika soko la ajira...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum, Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing na nikiwa nimejikita na utengenezaji wa vitambulisho na busnescards katika mashule na taasisi tofauti...
1 Reactions
2 Replies
931 Views
Kwa anaejua shule yoyote ya private kwa upande wa advance yenye michepuo ya sayansi including CBG,tusaidiane kwa majina ya shule izo na maeneo zilipo nawasilisha wakuu
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom