Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Nataka mnijuze hivi degree ya business administration NIT iko vzur unaweza kuwa marketable na vip kuhusu bachelor of science economics,project n planning mzumbe ina deal na nin hasa yan kaz zake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wazee... dah serikali hii au sijui ni vyuo tu yaani nimefanya vizuri science lakini naenda kuchaguliwa course ya uwalimu doh....it's all good.Kwa wale waliochaguliwa ''Tumaini University...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, NACTE wamefunga system yao?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesitisha mahafali ya wanafunzi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo mchana chuoni hapo jijini Dar es Salaam, ambapo Waziri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi vyuo vya DIPLOMA nacte wakati wa ku apply DIPLOMA tayari au ndo bado msaada nisije nikapitwa maana haya mambo ni kama mficho hivi
0 Reactions
4 Replies
760 Views
Ndugu wasomaji na wachangiaji wa jukwaa hili, salam kwenu. Naomba mwenye kujua atufahamishe sifa mahususi za kuteuliwa kuwa: =Afisa Elimu upande wa Sekondari na Primary = Mkuu wa shule upande wa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Hivi kwa nini Tanzania tusingekuwa na syllabus inayofanana kwa similar courses ambazo hutolewa vyuo vikuu?? For example, kama mtu anasoma Bcom Accounting UDSM, na mtu mwingine anasoma Bcom...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na kuenea kwa lugha ya kiarabu duniani kote kutokana na kukuwa kwa uchumi na vitega uchumi nje ya nchi za kiarabu imepelekea fursa za masomo, biashara (ikiwemo hijja) na uwekezaji na nchi...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
I kindly requesting your ideas about which way i should take to fulfill my teaching desire.I did Nacte application[teaching certificate] but if failed to make it due to my perfomance. nilipata 4...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Niulize swali tafadhali
1 Reactions
3 Replies
955 Views
Habari za majukumu wana jukwaa la siasa.poleni na hongereni kwa harakati za maisha ya kila siku hasa katka kuchambua sera za wagombea wetu ikiwa ndio tupo ukingoni kuelekea October. Nimesoma...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naomba kuuliza, je serikali kusema kwamba hawa vijana waliopata division 3 kwa masomo ya science yaani pcb, pcm, pgm kwa kukosa D mbili je, utaratibu gani umewekwa ukizingatia vyuo vya diploma...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Msada tafadhari. Hivi deadline ya TCU application ni tarehe ngapi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kuadd number yngu y form 6 nliomaliza mwka huu lkn inakataa inaandika" index number entered is either not valid or does no exist" aliofanikiwa anawez kunielekeza nifanyje kutatua swala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nia ya kisiasa ya kuifanya Tz ya viwanda itakuwa ni hadithi kwa hizi grade mpya za A-Level. kwa sasa PCM, PCB, PGM, CBA, CBG na comb nyingne za sayansi weng wao wanasoma kwa malengo ya kupata D...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina Gpa ya 3.2 na form six nina DDE nataka kuply university, mnanisaidie wadau nitumie cha Dip au cha six ,ushaur wadau
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Ndugu wana jf, habari, polen na majukumu. Ninaomba kufafanuliwa kuhusiana na hii course kwa upande wa O-level. Je mtu mwenye D4 kidato cha nne anaruhusiwa kuomba course hyo? Taratibu za maombi...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Civ B history C English D kisw B Geo C bios C chemistry B mathematics C physics sikufanya ilikuwa division II 18. Je naweza chaguliwa kusoma(Co) clinical officer nikiapply nacte? Naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba ushauri wenu kozi ipi iko powa kuisoma kati ya hizi diploma in clinical medicine na diploma in pharmacy
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Wakuu,kuna mdogo angu amemaliza kidato cha sita,amepata Div 1..EC B, GEOG B,HISTORY C (HGE) , tatizo linalo msumbua ni F yake ya math o'levo na A' levo alipata F ya BAM. Anataka asome BAED...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom