Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
hello... Jana nimefungua profile yngu nikakuta **You are not selected click here to see the reasons ** sasa kila Niki click here nakuta kuna zile course nilizochagua wameziweka halaf wameandika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naweza badilisha kozi niliyoomba NACTE ambapo nmeteuliwa ila bahati mbaya sikuwahi kuripoti chuo kutokana na matatizo? Je nikifanya maombi upya kwa kozi tofauti na mwanzo nitakubaliwa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waizara ya elimu imetoa tangazo la nafasi za kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya Diploma. Kwa maelezo zaidi soma attachment.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari JF, wenye update kuhusu pesa ya Field maana mambo si mambo tulioko vijijini kufundisha.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wadau hivi hata kama umeanz certficate ukusom na diploma na ile GPA 3.5 ukawa uliipata kwa diploma kwa coz ya kilimo n mifugo kwa ufaulu huu ] O LEVEL 2013-GEO D KISW B CIV D HIST E...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajf naweza pata diploma kwa criteria hizi? 1. Four ya 27 2.Cheti cha ualimu Grade A Naomba kuwasilisha
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Msaada ndugu zangu, kuna mdogo wangu kapata div 3 ya 15 sasa kwa qualification za sasa kakosa nafasi ya kufanya Degree. Mshaurini njia ya kufanya maana naona NACTE washafunga usaili.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
1. Ordinary Diploma in school inspection na 2. Ordinary diploma in Education management and Administration Kazi zao ni zipi? na je degree zake zipo hasa Degree ya 'school inspection'
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nauliza mtahiniwa wa kujitegemea wa advance anafanya pepa ngapi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jf Nilkuwa naulizia kuhusu hii kozi ya bcs in chemistry ikoje katika nyanja hizi: 1;kwanza anaesoma hii kozi anahisika na nni? 2;pili huyu mtu yye akitoka kumaliza kozi yake anaweza...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Duh mi ni raia tu naish maeneo ya karibu na hvi vyuo, co vyuoni na mi c mwana chuo. Tatizo hawa wanaojita wanachuo wanamajigambo na maonesho ya kitoto wawapo nje ya vyuo vyao, jambo ambalo...
4 Reactions
88 Replies
14K Views
Hivi Bcs of housing and infrastructure planning zina resemble na civil eng..au
0 Reactions
2 Replies
797 Views
wanajvi naombeni kujua coz zenye soko za afya tofauti na md
0 Reactions
26 Replies
25K Views
naombeni msaada,wale form six mwaka jana 2015 wanaruhusiwa apply tcu kwa minimum c mbili , na c kwao inaanza 40-49 sawa na E ya mwaka huu. apo wadaku na mastelingi wa grades haki ipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority...
1 Reactions
58 Replies
13K Views
Zoezi la kuainisha wafanyakazi vihiyo ni zuri lakini liwahusu wafanyakazi wote. Tatizo la hili zoezi ni kuwa wafanyakazi wenye elimu hadi shahada moja ndio wanaotafutwa. Wako madaktari wa elimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kozi ya moja kwa moja kusomea uanakemia? Vipi kuhusu vigezo vya kusoma kozi hio? Ni vyuo gani vinahusika? Na vipi kuhusu ajira zake? Na kwa nini siisikii kozi hii na hali wanakemia wapo...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Huu uzi ni kwa ajili ya kupeana mawili matatu kuhusiana na elimu inayotolewa hapa nchini inamjenga vipi kijana kupambana na changamoto zilizopo mbele yake hususani swala la ufanisi katika utendaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
AFC ( Accountant Financial Consultants ) We are registered by NBAA (National Board of Accountant and Auditors, and we are known as the best tuition provider with 8 years experience. CPA Review...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu habari! Ninaomba mwenye kujua kuhusu kusoma/kusomea/kutafuta cheti cha CPA kwa mtu ambaye undergraduate hakusoma masomo ya biashara inakuwaje? Yaani process/ngazi zilizopo na gharama yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom