Mimi ni mwalimu wa sekondari nataka kuhama kwenda mkoa mwingine. Hivyo basi naomba mdau yeyote mwenye waraka mpya wa hivi karibuni anitumie sasa hivi. Maana nilionao ni waraka wa zaman kidogo...
Habari wanajukwaa,
Naombwa kujuzwa kampuni nzuri kwa ajili ya kufanya field za IT ambayo itamfanya anayefunzwa walau kupata ujuzi.
Ukiandika jina la kampuni na mahala ilipo nitashukuru.
Asante
Habar wana jf naomba msaada juu ya chuo chochote kilicho bora ambacho kina weza kufundisha mwanafunz english course ambacho kina muda wa asubuhi /usiku muda wa kuanza na ada yake bei gan na unalipa je
Bachelor of Economics and Finance inatolewa na Institute of Accountancy Arusha. Lakini hakuna taarifa zake kwenye mtandao. Ningependa kujua mchanganuo wa masomo kwenye hii program, je chuo kina...
Kama kuna MTU anafahamu utaratibu wa kupata joining instructions ya chuo hicho kuna rafiki yangu amechaguliwa hapo na NACTE na amekua confirmed lakini kila akicheck email yake haoni hiyo joining...
Habarin wana jamvi , naitwa mwalimu Umari .s .Mangumbe ninafanya kazi Mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi (V) .Namtafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje huku nami niende moja Kati ya...
*Habari Ya Asu
buhi*
*Nauliza Hv Yule Aliemaliza Form 6 Mwaka Huu Na Akapata Labda CEE Anaweza Kweli Kuchaguliwa Chuo Kikuu Mana Ninachokiona Hapo Ni Kuwa Amefikisha Minimum Entry Za Kuingia Chuo...
Nataka nifute machaguo ya kozi za diploma kwenye profile yangu maana kuna vyuo nimevichagua kimakosa.
Je nkifuta machaguo nikaanza kuchagua upya itawezkana au ndo washafunga nafasi za diploma...
Kuna maombi ya vyuo watu waliomba kupitia NACTE na kulipia gharama ya sh 50,000/= na hii iliwahusu zaidi wenye sifa za diploma kwa kuazia GPA 2.7, watu walilipa nonrefundable fees na baadae NACTE...
Kutokana na ukakasi wa kauli za serikali.napenda kuwakumbusha wahusika kuwa tumeishi kwa ahadi hewa kwa mda mrefu sasa toka sitisho la ajira litoke zimebaki siku 14 ziishe miezi miwili kama...
Ni utafiti mdgo nilioufanya nimegundua kuwa watu wengi wanaochukua degree huwa wanaishia hapo ila hawaelekei kuchukua masters.
Sijajua sababu hasa ni nini au ni umaskini ama ni nni.!!?
Nilikuwa...
Wakuu nimekuwa nikishangazwa sana na utaratibu wa serikali kuwaajiri wahitimu wa shahada ya kwanza wa elimu ya awali (graduates of bachelor of early childhood education) kuwa walimu wa shule za...
hv jamen mbna ukichange priorty ya vyuo mbn competition haichenj yaan labda umetoa cha kwanza ukaweka cha pili na cha pili ukakiweka cha kwanza mbn idad ya competition haichenj au ndo unakuwa...
Nauliza kwa wanaujua hii kozi ya mechatronics hasa inadeal na vitu gani?
Soko lake la ajira likoje maana nimeona katika list ya kozi zinazotolewa katika chuo ya sayansi na teknolojia mbeya "MUST"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.