Albert Einstein, a man whose name is practically synonymous with genius, is one of history's greatest thinkers. As a physicist and mathematician, Einstein wasn't an inventor in the vein of Thomas...
Habari wana JF. Nimehitimu kidato cha sita kwa mwaka huu na nimesoma masomo ya sanaa. Na kama mnavyojua ufinyu wa soko la Ajira kwa masomo ya sanaa nimejaribu kufatilia hii course yan Bachelor of...
Tunasubiri Leo Dirisha la udahili kupitia TCU lifunguliwe. Wakati huohuo wale wa Nacte hakuna kipya mpaka sasa.
Kulikoni?????[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Poleni kwa kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa. Nahitaji kujiendeleza kielimu kwa level ya masters, naombeni kujua chuo chenye ada ndogo hapa nchini na pia muda wa kusoma mpaka kumaliza kwa...
Wana JF kwa wenye ufahamu kuhusu chuo bora kwa programme ya Procurement and Logistics Management kati ya (1).Mzumbe ambayo hutoa Bachelor of Business Administration in Procurement and Logistics...
Wadau salaam
Kuna chuo kinatafuta mwalimu wa umeme wa magari mwenye diploma ya field hiyo na mwenye uzoefu wa kutosha na kazi hiyo. Awe na idea na masuala ya Electronics. Mwenye kuhitaji hiyo post...
Nimekuwanikisoma hiki kitabu Kwa muda sasa nashauri watawala wakitafute wakisome pia
Na wajamii forum munaweza kukipata jitaidi mkisome hiki kitabu!!
Kuna vitu nimejifunza kupitia yanayoendelea...
Hey! Jamani nataka kujua kitu mm sijapita kuingia MD .lakini in form 6 leaver naombeni mnisaide .Nasoma advance diploma ya clinical officer au ordinary diploma ya clinical officer afu ndio naingia...
Hivi wakuu mtuu ukirisiti somo la A-level ambalo mwanzo ulipata D ukarudia kurisiti matokeo yakaja umepata E unakua umefuta ile D ya mwanzo au unaweza tumia hiyo D uliyoipata mwanzo?
Asanteni
Kuna dogo langu hapa anataka kuapply hvyo hvyo japo yuko chini ya vigezo naomben maelezo kama kuna aliefanya hvyo akafanikiwa kutuma maombi ila nimsaidie hyu ndugu yetu
TAHADHARI DHIDI YA MATAPELI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU NA WADHAMINI WAO
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa...
Nilituma maombi kwa ajili ya kozi ya computer ngazi ya diploma. Awamu ya kwanza sikuchaguliwa sababu waliandika kuwa sina principle ilihali mimi niliomba kwa kutumia cheti cha kidato nne na cheti...
Heloo, vipi wakuu
Naomba kujuzwa zaidi au kutaka ufafanuzi zaidi juu ya chuo kizuri cha ualimu wa sanaa hapa Tanzania.
.
kwa upande wangu nimeandika Dodoma na Mkwawa hivo...
JITU LA MIRABA MINNE
BOX OO
MWANZA
YAH;MAOMBI YA KUFUNGULIWA KWA MAOMBI YA DIPLOMA KWENDA DEGREE
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni kijana wa kitanzania nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.