Nawashukuru wote tulioshiriki pamoja kufuatilia Ahadi za TCU. Hatimae wamefungua Udahili kwa ajili ya Diploma Holders
Leo ni Tarehe 15/8
Tumesubiri toka usiku na sasa ni mchana na karibia siku...
Habar zenu wandugu!
Karibun sana katka hali ya kufahamishana mawili matatu kuhusiana na kuripot chuon na mambo mengine ikiwa wapo miongon mwetu washafika kwenye hii Taasis yetu ya Usafirishaj...
Wakuu naomba kufahamu ni kipi hasa cha mno kinachosababisha kozi ya clinical medicine kuwa na ushindani mkubwa sana katika uombaji wa naasi za vyuo?
Je ni kweli kwamba ndo kozi bora kuliko kozi...
Ikumbukwe kuwa kuna awamu hatukuweza kwenda JKT kutokana na muda wa kwenda chuo kuwa umefika na hivyo kusaini mkataba wa kuwa tutarudi tukimaliza chuo kama kiapo, Je utaratibu huo ukoje ili na...
Bila shaka mu wazima humu ndani,nimeleta uzi huu kwa nia ya kumsaidia ndugu yangu ambaye ana kijana wake ambae alifanikiwa kufaulu vizuri kidato cha nne na kuchaguliwa kidato cha...
Mbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto...
Amani iwe kwenu wana JF.
Baada ya kusogezwa mbele kwa muda wa kuanza field mwaka huu ambapo ilikuwa ianze tarehe 25/7 ikabidi ziongezwe mbele kwa wiki mbili kutokana na zoezi la uhakiki...
Samahani kwa usumbufu wakubwa ninaomba tu mnielezee uwezo wa hicho chuo katika kutoa elimu kwa sababu nimechaguliwa apo in diploma of nursing plz msaada wenu juu ya historia ya chuo #asanteni
Salam kwenu wakuu,
Kama mkereketwa wa masuala ya elimu, Nina imani serikali inaitambua vyema shule hii yenye historia maridhawa.
Ikiwa imeanzishwa Mwaka 1929 na ikijulikana kama st.Thomas more...
Habari zenu wana JF, mimi ni mgeni humu jamvini.
Naomba msaada wa kupata namba za simu za mhusika yeyote wa ofisi za TCU upande wa Admission mana kuna tatizo la kiusajili nimekutana nalo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.