Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mkuu wa wilaya Majula kasika , mkurugenzi Marcelin Ndimbwa na Engineer, Maimuna makutika wa wilaya ya Malinyi wakutana na wahitimu wa vyuo vikuu Dar es Salaam Leo 13 .8.2016 Katika kuhakikisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF Hivi nilitaka kusaidiwa kitu kumoja. Kuna siku kuna kaka yangu mmoja anasoma civil engineering pale MUST mbeya. Alikuwa anataka kuapply mikopo kwa bodi ya mikopo na mwingine dada...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Serikali imewapeleka wanafunzi wa masomo ya afya katika chuo kikuu cha Kampala na kuwatelekeza huko bila msaada na kuendelea kuwakandamiza.. Hivyo wanafunzi wa chuo hicho sasa wanajulikana kama...
1 Reactions
28 Replies
12K Views
Swali: kwanini wakati wa usiku vumbi hubaki/huganda sana ktk anga hii yaweza onekana barabarani kiurahisi,,,,, Na pia wakat wa usiku pia moshi huganda pia hewani badala ya kusambaratika???
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Soma hii: TAARIFA KWA UMMA Bodi ya Mikopo inapenda kuwataarifu wadaiwa wote waliopo Dar es Salaam kuwa Ofisi za Bodi zitakuwa wazi kwa siku mbili za kesho, Jumamosi, Julai 30, 2016 na Jumapili...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nimekosea kujaza mwaka kwenye namba ya mtihan ya o level nimeeka 2016 baada ya 2013 nifanyeje kuepuka kuitwa kwa waliokosea au sitoitwa kwa vile cheti cha matokeo kinaonesha mwaka sahihi. Naomba...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
karibu lisaa sasa imepita tangu niingize code za malipo ya ada ya maombi nacte,, lakini bado sijapata username na password ili kuconfirm usajili huo wa nacte na kuendelea na mchakato wa maombi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naukizia kwa waliosoma advanced mathematics ,ninaomba mnipe list ya vitabu vizuri vya hesabu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yafuatayo ni maongezi ya kijana Julius na mtangazaji wa PB, Gerald Hando wa Clouds FM. Julius afunguka na kueleza jamii sababu iliyomfanya afanye kitendo hicho. Historia fupi... Jina langu...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Leo kuna mida fulani nimepigiwa simu na mama mmoja hivi namba ngeni! Kwa kuwa simu yangu nimeweka True caller imeniletea jina juu pale St.Joseph! Nika pokea akaniambia naongea na mzazi/mlezi wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wadau wa elimu??! Nina shida na ushauri wenu juu ya programu tajwa hapo juu. Nina digrii ya manunuzi na ugavi.vipi ninaweza kuomba hiyo kozi. Ninaipenda kweli.....
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Rais anaposema watu wazae tu watoto maana watasoma bure afu wakifika advance anawakandamiza kwa grade ambazo ki ukweli ni ngumu ukilinganisha na miondombinu mashuleni Pia kutotoa fedha kwa ajili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu naomba kujuzwa juu ya scholarship zitolewazo na GIRNE AMERICAN UNIVERSITY...asanteni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Jamanii hizi taarifa za kufutwa kwa foundation course open ni kweli? Naomba kujulishwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana; hivi hizi nyuzi zinazosambazwa kwenye mitandao yetu hii za kudai baadhi ya halmashauri zinaupungufu wa walimu. Kwaiyo wenye uhitaji wakupangiwa halmashauri hizo wafanye mawasiliano kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekuwa nasikia matangazo ya kozi ya kiingereza inayotolewa na anayejiita Ras Simba kuwa anamfundisha mtu asiyejua kiingereza cha kuongea na kuandika ndani ya wiki 2 au 3 mtu atakuwa...
2 Reactions
31 Replies
12K Views
Jamani hii ni serious issu naombeni msaada kwa yoyote anaeijua shule nzuri inayofaulisha sana wanafunzi wa masomo ya sayansi advance mkoani Mbeya please ni serious utani majungu yakaushie.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi hizi hela za field zitatoka lini ? Mwanzoni tuliahidiwa kuwa jumanne ya wiki hii zitatoka ila hazikutoka na siku za field ndio hivyo zinazidi kupita.Serikali ilitangaza kusogezwa mbele field...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Back
Top Bottom