Greetings beloved!! I'm in urgent need of soft-copy materials based on satellite ports.
Any website link or soft-copy material is going to be more than helpful. Humbly waiting for your response...
Kuna kitu mi sijaelewa katika hii serikali hasa katika elimu. Wamebania sana vijana kupata nafasi za kusoma ngazi za juu katika fani mbalimbali hasa za ufundi na teknolojia na hata kwa waliofaulu...
Wadau kama hujaona hii:
Chevening Scholarships are awarded to individuals with demonstrable leadership potential who also have strong academic backgrounds. The scholarship offers financial...
Wadau wa elimu inayotolewa kupitia Vyuo vya Maafisa Tabibu nchini, yaani Clinical Training Officers (COTCs), wamemtaka Rais Magufuli, kuingilia kati kwenye Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ili...
Vyuo vingi vimepewa sisi bhado, ndo imekula kwetu ama?...
Pof. Ndalichako Abaini Wanafunzi Hewa Zaidi ya 1000 Vyuo Vikuu
MUUNGWANA BLOG / 3 hours ago
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Niko ATC nachukua AUTOMOTIVE ENGINEERING diploma nwaka wa 3 wa mwisho, nina uhakika wa kutusua first class GPA, ila naomba ushauri kati ya Mechanical na Automotive ni kozi gani yenye uwanja mpana...
Salaam,
Kwanza niwashukuru kwa kufungua udahili maana mlituweka roho juu wana wa wenzenu.
Napenda kutoa taarifa ya kuwepo mapungufu kadhaa katika cas/noas kwa waombaji wenye stashahada.
1...
Habari wana jukwaa
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya vitabu hivi:
Project Management by K. Nagarajan
Financial Management by Prasanna Chandra, Prasanna, anisaidie ama hata kama unavyo kama...
Msaada wana jf nataka kuapply kozi ya diploma in clinical medicine kwenye chuo cha rubya kilichopo kagera chenye usajir ufuatao REG/HAS/0017
Kinachomilikiwa na FBO.
JE CHUO HIKI KINA UBORA...
Habari zenu wakuu.
Nlikua napenda kujua kuhusu kama mtu aliesoma accounts hua anachukua CPA je kwa mtu aliesoma business administration hua anachukua nini au ndo anabaki na degree yake au diploma...
Msaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.