Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
"Youth citizen entrepreneurship competition" KING EDICK COLLEGE ipo katika kuwania best project 2016, kuptia hii link hapo chini nakuomba ewe mwana JF mwenzangu upge kura na utoe maon yako kuptia...
1 Reactions
0 Replies
627 Views
Wakuu naomba msaada katika kujaza maombi ya degree tatizo ni katika kujaza mwaka niliomaliza, mfano mimi nimemaliza Diploma mwaka 2016 lakini katika kuchagua huo mwaka haupo katika system ya TCU...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wakuu,hivi lini majibu ya pili yatatolewa,maana wale waliochaguliwa chaguo la kwanza wapo njiani vyuoni,sisi tunauza sura mtaani tu na je deadline itakuwa moja au mbili,kingine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wale waliochaguliwa vyuo vya diploma kuhusu mkopo utaratibu unakuwaje mf:pale Udom.Naombeni mnieleweshe kwa wale mnaofahamu tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa Nimatumaini yangu kwamba nyote wazima kabisa! Kwa wanaojua ni IPI kozi bomba sana kati ya hizo tajwa hapo juu! Yenye mashiko kwa sasa na salary nono! Na opportunity za ajira...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania wengi washio ughaibuni yaani ulaya na marekani na hasa wale ambao hawajuri Tanzania kwa muda mrefu,,bado wanaushamba ule wa kizamani wakihisi kua vitu wanavyojua wao au kuanavyo wao eti...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
bado sijaelewa kabisa mpaka sasa,, wakati NACTE wanatoa tangazo la udahili wa pamoja kwa kozi mbambali zikiwemo za kilimo,, afya,, mifugo,, na kadhalika kwa ngazi ya astashada na stashahada,, siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauliza naweza kusoma kenya degree of accountancy katika chuo cha university of kenya or nairobi na school fees zao zipo je nimepata point 3
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimechaguliwa kujiunga na chuo cha TIA Mtwara naomba anayafahamu anijuze haya yafuatayo 1. Kuhusu gharama zake 2. Chuo kinatoa huduma za hostel? 3. Kipo ktk mazingira gani? Ni hayo tu, kwa yeyote...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mpaka sasa, wanafunzi wanufaika wa mkopo hawsjapewa fedha zao za kujikimu, mbaya zaidi vyuo vingine kama UDSM, DUCE, ARDHI wameshapewa inakuaje asitishe malipo yao kabla wanafunzi wa UDOM...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu. Naomba kupata maelezo angalau ya kunitoa gizani kuhusu hii kozi ya Marine Engeneering ipoje,changamoto zake,uzuri wake,ajira zake na maelezo mengone muhimu.Najua hapa ni home great...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wakuu... Ujue me nashangaa saana kwa watu ambao wanalalamika eeti vyuo vingi sana sana vya afya vimeweka admission capacity ndogo sasa ukifatilia wengi wanaolalamika ni aambao...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari za wakati wana jf kuna ndungu zangu walifanya application nacte through CAS na application dedline ilikuwa ni tr 13 august baada ya dedline kila mmoja alipo ingia kwenye profile yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeingia NACTE website naona kama hawajafungu applications kwa wale ambao wameomba mara ya pili, Je hii ni kweli? Mwisho ilikuwa tarehe 13/8/2016. Mbona bado application profile iko wazi na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nawasalimia wana jamii forum kuna doctor yyte anayeijua hospitali ya mnazi mmoja (zanzibar) anipe information pale km mtu aweza fanya internship nina ndugu yangu anapenda zanzibar ataka enda...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wanafunzi wapatao 230 kati ya 300 katika ngazi ya Diploma, chuo cha utawala na fedha(ZIFA) hawana vigezo vya kuendelea na degree kwa kukosa alama ya 3.5 GPA.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni mniambie mwisho wa kuapply Cheti na diploma ni lini?????
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Samahan wana jf naomba kuuliza hiv kwa walio omba certificate or diploma in primary education awamu ya pili kuna yeyote aliye pata post ? asanten
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanini Wanafunzi wengi hasa wale wa Sekondari wanapenda sana topic ya Reproduction?? Inapofika hii topic wanafunzi huwa active sana na maswali Mengi ya kutosha, hata wale wenye kupenda kulala...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa Nimatumaini yangu kwamba nyote wazima kabisa! Kwa wanaojua ni IPI kozi bomba sana kati ya hizo tajwa hapo juu! Yenye mashiko kwa sasa na salary nono! Na opportunity za ajira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom