Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Majipu yataisha lini jaman.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya majina ya wanafunzi walioshindwa kuhakiki taarifa zao. Ni hatari sana. http://olas.heslb.go.tz/downloads/WANAFUNZI_WASIOHAKIKIWA.pdf
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Habarini wakuu naomba mnisaidie kwa mtanzania yeyote anaesoma chuo cha GIRNE AMERICAN university nipatiwe namba yake ya mawasiliano
1 Reactions
3 Replies
895 Views
Wanajukwaa wazima? Mi mzima nauliza kama ulifaulu NABE |,NABE || na NABE |||.Pia una vyeti vyote vitatu.na O level ulisoma commerce na bookkeeping ukaifaulu vizuri ,pia A level ukawa umesoma ECA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
msaada jamani niupi utafauti wa hizi kozi? naje ukisoma BAF-Ps lazima uajiriwe na Serikali tu au ata private unachukuliwa? samahani kwa wewe utakaeona nimeuliza swali la kijinga najua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mnanishauri bora niombe nn tcu kayi ya forestry sua au pharmacy kiu Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, samahani, naomba nifahamishwe ni kwa namna gani taarifa ya kuwa umepata mkopo au umekosa inatolewa? je ni kwa mtandao au kwa vipi?
0 Reactions
10 Replies
13K Views
Wadau nahitaji kukifahamu chuo hiki mazingira yakoje?Kuna hostel? Je mwaka huu kuna sponsorship government ?Tarehe ya kuripoti lini na utaratibu wa join instruction uko vipi kwa ngazi ya cheti...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Eeee jamani hii hewa haijaisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
News Alert: - Ushauri Ushauri
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Mimi ni mwalimu wa masomo ya physics na mathematics, (degree holder) nina experience ya miaka 5 sasa...... Natafuta Kazi ya kufundisha masomo hayo kwa Level zote (alevel na olevel) kwa wanaohitaji...
1 Reactions
0 Replies
801 Views
kwenye guidebook ya diploma holder UDOM kuna jumla ya program 78 lakin ukiingia kwenye selection ya progra baadh hazionekani je wataziongeza?
0 Reactions
2 Replies
756 Views
Mtu mwenye degree ya Electrical engineering anaajiriwa maeneo gani?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Anayefahamu vitabu vizuri vya kujifunzia kingereza kwa mtu ambaye anaanza hatua ya mwanzo kabisaa
2 Reactions
12 Replies
6K Views
MPYA KUTOKA WIZARA YA ELIMU-WANAFUNZI WA CHUO CHA UDOM WALIOPANGWA MAFUNZO YA UALIMU CHETI MTWARA-KAWAIDA 2016/2017 KUPAKUA PDF>> BOFYA HAPA JOINING INSTUCTIONS KWA VYUO...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Naomba mnijuze jamani hivi mwaka huu kutakuwa na second selection kweli ya form five??
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu asubuhi ya leo, CAS kupitia NACTE haipatikani kuna tatizo gani? Hata ukipitia Link ya TCU bado haipatikani Tatizo ni sever ya mtandao ninaotumia mimi au ni server yao? Ukiwapigia help...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada nataka kubadili matokeo ya mtoto ya form four kutoka Cambridge kwenda NECTA. Amemaliza hapa tanzania academic international school.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba kuulizia watu wa diploma wanaanza lini masomo yao mwaka huu?
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada jamani nikiaaply nacte bachellor nikiweka number registration inakataa inadai kuwa reg.no/examination number/graduation year is not in our system nimeenda jana nacte hakuna umeme nimerud...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom