Samahani wakuu,
Kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na Mbeya ufaulu wao unatakiwa uweje? Maana kila mtu anasema yake huku baadhi wanasema lazima division one mwisho ya point 7...
jaman habari wanajamii wenzangu najua mko salaam
mimi nilikuwa naomba munisaidie hizi diploma za udom tangu watoe tarehe26 mwez wa6 mpaka saivi hakuna deadline na pia je, kwanini wenyewe hawapo...
Naomba kujua ubora na jinsi ambavo courses za NCC na ABE zinavokubalika au zinavo kuchukuliwa hasa kwa nchi yetu japo kwa mistari michache. Mfano wa courses hizo kama vile zinazotolewa Learnit...
Kwa yeyote anaekifaham Chuo cha uhamiaji moshi (Tanzania Regional Immigration Training Academy) (TRITA) au mwenye namba ama mawasiliano yeyoto anipe!
Au anisaidie kunipatia joining instruction...
Jaman HSM hii ni program nimeiona mzumbe university morogoro kwa wasiyo ijua kwa kirefu ni bachelor degree in health system management na ni miaka 3 tu nashindwa kuelewa kma program ya udokta...
Habari Za jioni wakuu
Kuna kijana amefeli form two kwenda form three twice , wazazi wanaumiza kichwa wafanye nini hili Dogo asome
Je kuna chuo kinachopokea watu walioshia form two Au kuna shule...
Habari Wana JF,
Ndugu wanaJF, naimani wadau wa elimu mnafaamu wazi kuwa NACTE walikuwa tayari wamefungua uombaji wa kudahiliwa katika taasisi za elimu ya juu kwa upande wa wale walio na stashahada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.