Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu katika hili. Nina mdogo wangu amepata Economics C, Geography C na maths F, Scstudies E, anataka kuomba ( Busness Information System) UDOM. Nahitaji kufahamu haswa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika maisha ya chuo cha ualimu Butimba hasa kwa mwaka 2003 mpaka 2005 si rahisi kumsahau mama malingumu ambaye alijitahidi sana kukiweka chuo vizuri hasa kwa nidhamu chini ya uongozi wa mama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu nimepata IV point19. Nina principal moja na F zote. Sasa nauliza naweza kusoma diploma? Je naweza kupata cheti na kama kurisit narisit masomo yote au...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Salaam sana wakuu Hii course hapo juu nimetokea kuipenda kwa muda mrefu ila sikujua kama ipo tanzania.lakini juzi wakati napitia website ya MUST nikaiona na sio siri nimefurahi,sasa wakuu hapo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Life is not always what you want it to be but you always have to be what life wants you to be.
0 Reactions
2 Replies
654 Views
Not available
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna nyuzi nimeskia jamaa anatoa asilimia 45 tuu ya ajira katika kada zote zinazoajiriwa na serikali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wanajamii formums Naomba kufahamishwa muda wa ufunguzi/kureport chuoni kwa sie tulochaguliwa DIPLOMA YA INFORMATION SYSTEM AND NETWORK ENGINEERING KUPITIA NACTE. Pia naomba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi! Leo ningependa kutoa ushauri kwa rais wetu ambaye amejitolea kwa watanzania kupata huduma safi na uhakika. Rais wetu mpendwa mwaka wa huu mwanzoni uliweka policy mpya ambayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natumia nafasi hii kumpongeza Waziri wa elimu kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuboresha elimu nchini. Changamoto ni nyingi lakini anajitahidi kupambana nazo. DUKUDUKU LANGU NI KUHUSU PESA YA FIELD...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni kujua hii course ya bachelor of maritime transportation inahusika haswa na nini?! Pia ajira zake zipo?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Hivi unaweza kutoka shule ya secondary ya private na kuhamia government? Kama inawezekana utaratibu wake uko vipi? Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Jamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nina DDE pcm,mwanzo nilichagua mech DIT ila nimeambiwa kua sina vigezo,nataka nichange niweke mojawapo kati ya bsc general, bsc environmental science and management au bsc industrial eng and...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini wanaJF. Nimeajiriwa mwaka jana kama mwalimu wa secondary. Baada ya kama miezi mitatu kuna tukio lilitendeka japo sikuhusika ilionekana mimi ndo chanzo. Mkuu alikuwa mkali hadi akanitamkia...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
wakuu naomba ufafanuzi juu ya ufaulu unaotakiwa mwaka huu kwa walioomba degree ya sheria UDSM na mzumbe ya Moro na mbeya ...maana kila mtu anasema yake uku eti lazima wenye division one mwisho ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Za mchana wanajamii forums,nilikuwa naulizia kama kuna mtu amechaguluwa hiki chuo,kwa sababu nimepigiwa simu leo wakasema nimechaguliwa nisubilie joining instruction nitatumiwa kwenye e-mail
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna bacheor of Urban &regional planning na hapa muda unaelekea kwisha. Sasa naulizia hiyo bachelor inayopatikana Ardhi university iko poa jamani?? Naomba kujua inahusika na nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu,sayansi,teknolojia na mafunzo ya ufundi, Prof Joyce Ndalichako,amesema sifa za kujiunga na vyuo vikuu na kidato cha tano zimepandishwa ili kuinua kiwango cha elimu ya juu. Ili...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
nliomba nafasi ya diploma vyuo mbalimbali jana kwenye profile yangu wakanitumia message kwamba nimechaguliwa chuo mojawapo kati ya nilivyoviomba,ila sasa cha kushangaza sa hv nafungua nakuta hamna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom