Samahani wakuu nimemaliza kidato cha nne mwaka jana nimechaguliwa kujiunga na diploma pale MIST kozi ya Mechatronics Engineering.
Sasa naomba nifahamu kuhusu hii kozi inahusika na nini? Vilevile...
Wadau anefahamu kuhuzu kozi hizi za Health informations na science in biology zinatumika sehemu gani na vipi soko lake la ajira likoje? msaada tafadhali
Elimu inatakiwa kukupatia ujuzi na maarifa unayohiitaji uyatumie kupambana na mazingira na kusaidia jamii ! Habari ya kushidana GPA , Chuo kipi Bora , Mara Flani kilaza n.k havina maana kwenye...
Wadau wa Maktaba,
Mnakaribishwa kutembelea Maktaba yetu ya Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 1/9/2016 - 8/9/2016 ambapo kutakuwa na week ya kujisomea. Tuta-exhibit (onesha) vitabu mbalimbali...
wana jukwaa naombeni mwongozo wenu katika kuchanganua ipi ni bora kati ya kozi hizi... BACHELOR OF BUSNESS INFORMATION SYSTM, BCOM ACCOUNTING or ARTS IN ECONOMICS
habari wanajamvi?
napenda chukua fursa hii katika kutoa elimu juu ya masuala ya vyombo vya anga
niulize swali lolote kuhusiana na plane's engines na utendaji kazi wake
asante nawakilisha hoja
Hata kama ni kubana matumizi lakini kwa Hapa nasema wazi kuwa this is too much!
Kwamba mtihani huu hautakuwa wa mchujo tena na wote watakwenda kidato cha tatu HAKUNA KUFELI* Kwa hili niseme mama...
Vyuo vingi vishapatiwa pesa zao, chuo chetu inasemekana pesa hata haijaja kwa Maelezo ya Loan officer, tunawasiwasi kaiweka fixed account.
Mwenye namba za Bodi ya Mkopo tunaomba tuweze...
Nimechaguliwa kusoma Certificate in Accountancy Arusha (IAA). Napenda kubadilsha kusoma certificate in Law Lushoto. Nifanyeje?
Je inawezakana, if so nitumie taratibu gani kubadilisha?
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya mambo ya elimu ya juu! Nimefanikiwa kupata principles advance level PCM (ABC=6PTS), nahitaji kusoma either of above mentioned programme hivyo mawazo yenu...
[emoji42] Ndoto yangu usiku wa kuamkia leo, nimeota eti ajira za waliimu ambao wamemaliza vyuo mwaka 2015 zitatolea usiku wa kuamkia sep 1-2016 ili kuwakipu bize vijana wasishiriki ujenzi. Tuwe na...
HABARI ZENU WAKUU....
Naomba kufahamishwa kuhusu diploma ipi nzuri kati ya hizi zifuatazo na ajira zake kama zipo direct toka serikalini au laa...
1:DIPLOMA IN DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY (DDR)...
UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA WASIOKOPA KUDAIWA MIKOPO
1.0 UTANGULIZI
Kumekuwepo na taarifa zilizotolewa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, hasa gazeti la Jamboleo toleo namba 2541 la...
Dear student,in order to continue receiving loan from HESLB you have to pay 20,000/= your information are not seen from the board after loan update.So we need to make the follow up to your...
msaada...nna division 2 ya 12 form six PCB phys E Chem D na bio C name form four nlikuwa na div 1 ya 17 nmeapply
chuo KCMC kozi ya prosthetics & orthotics na competition kiujumla ni applicants 22...
Ni uamuzi wa kushangaza sana kulazimisha watoto wasome masomo ya sayansi eti ili kuleta Tanzania ya viwanda. Kumbuka kwamba kuna mipango ya muda mfupi na ya muda mrefu.
Mtoto wa form II kusoma...
jamani nimeona post moja wasap kuhusu uhamisho wa mwezi june ikielezea watumishi wa mkoa wa Dodoma waliohama. Kuna mtu yeyote mwenye tetesi za lini majina yatawekwa kwenye mtandao kwa wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.