Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Check out tanzania sec school (@TanzaniaSec): tanzania sec school (@TanzaniaSec) | Twitter
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Physics C, Chemistry A, Biology A, History c,geograph c, civics c,kiswahili c, English c, maths d
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nahitaji kuunganishwa na shirika lolote ambalo linaweza kunisaidia kusoma chuo au advance. Kwayeyote ambaye analijua au ashawahi kusaidiwa naomba aniambie ili na mimi niweze piga hatua mbele.
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Natumai ajira za walimu 2016, zitatangazwa leo, kesho, kesho kutwa au mtondogoo, kwasababu jana ndo ulikua mwisho wa kuhakiki maswala yote ya WATUMISHI HEWA, sasa hakuna kikwazo kingine!!! Au...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa diploma niliyemaliza mwaka huu na nina GPA nzuri nimemaliza katika chuo cha MIPANGO Dodoma lakini mpaka leo hakuna mwanafunzi aliyeapply chuo mpaka...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
" Explain the knowledge which is provide in the earth interior?
0 Reactions
2 Replies
854 Views
Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kozi hiz Mediacal Officer na Clinical Officer. kozi ipi inafuture mzuri kwa maana unaweza kuanza nayo kwa ngazi ya diploma mpanga ngazi ya juu zaid, kazi za kila...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Habari zenu wanajamvi, Poleni na majukumu, naomba msaada wa mawazo. Mimi niliomba kudahiliwa higher diploma ya education pia ordinary diploma za afya kupitia NACTE. Wamenipa ordinary diploma in...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Naomba upendekeze mtu mashuhuri aliyefanikiwa katika fani ya injinia wa umeme au makenika akiwa kajiajiri mwenyewe ili awe mtu wa mfano. Kijana anataka ajimotivate pale...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina degree ya social science lakini kutokana na ukosefu wa ajira toka nimalize chuo 2008 nataka nisome kozi yoyote ya afya yenye ada ndogo na iwe ya mwaka mmoja natumai labda nitaondokana na hili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini za mchana. Hivi kwa hili la serikali kuwahamishia wanafunzi ktk vyuo vingine ni kweli wataendelea na hiyo Special diploma kama ya waliobaki pale UDOM au wao ndo itatakiwa wapate...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
hey guys, jaman me naomba ufafanuzi kwa anayefaham hili,.•• inasemekana kuwa diploma in primary now ni BASIC TECHNICIAN certificate!" na inasomwa miaka 2 tuu na xio mitatu"! mweny kuelew zaid atujuze
0 Reactions
14 Replies
4K Views
wakuu nina C 4 D 2 E 1 na F1 pia nina chet cha nacte cha maendeleo ya jamii cha mwaka 1 jee naweza kusomea ualimu kwa level ipi??? nilisoma masomo ya biashara na arts shule ya sekondar
0 Reactions
10 Replies
2K Views
fungua hapa kisha tujadili kidogo na kupeana mawazo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asilimia 90% ya uendeshaji wa vyuo vikuu nchini unategemea ada za mwanafunzi. Asilimia 98 ya wanafunzi wa walioko vyuo vikuu nchini wanategemea mikopo kutoka board ya mikopo lakini mpaka sasa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Walimu wa shule ya sekondari Nyakabungo katika wilaya Nyamagana jijini Mwanza, wanatuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi hali iliyowafanya baadhi ya wazazi kuiomba serikali kuwachukulia hatua...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa wale waliopangiwa Madini Institute Dodoma,naomba tufahamiane mapema kwa taarifa zaidi.
0 Reactions
1 Replies
662 Views
Katika kuhakikisha hadhi ya ualimu na waalimu inakua nchini, Chama cha Walimu kinapaswa kurejea madhumuni yake mfano (a) Kuendeleza na kulinda hadhi ya kazi ya ualimu pamoja na kusimamia viwango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani tamisemi wanatoa lin majina ya uhamisho?
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom