Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajamvi; Nataka nisome foundation course ili niende chuo kikuu mwakani, nani mwenye uelewa wa hizo kozi anisaidie mawazo tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu JF? Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Daaahhh hii barua nmeipenda xn My son starts school today. It is all going to be strange and new to him for a while and I wish you would treat him gently. It is an adventure that might take him...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mmeamkaje wapendwa,naombeni ushauri nimechaguliwa kwenda kusomea ordinary diploma in petroleum geoscience madini institute pale Dodoma lkn nataka kubadilisha niende ordinary diploma in laborary...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nmeandika hii thread nkiuliza kama naweza Fanya computer science o level nimechukua science Phy D Chem D Math C Bio D na advance nimesoma HGE Hist C Geo C Eco C Bam D Naomba...
0 Reactions
15 Replies
37K Views
Habari wanajukwaa, Nahitaji kubuild solid foundation katika maswala ya "COMPUTER PROGRAMMING". Nimeamua kusoma degree program mwaka huu ili niweze kupata hizo skills. Ningetaka zaidi kusoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kama umechahuliwa chuo chochote cha mifugo liti tukutane hapa kupeana update hasa kozi ya animal health and production
0 Reactions
6 Replies
999 Views
Wadau naomba kuuliza jinsi ya kufanya uhamisho nacte,kutoka chuo kimoja kwenda kingine
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza, kwamba mtu akisoma hiyo bachelor anakuwa nani au anafanya kazi wapi na soko lake la ajira likoje kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar wana jf, Ningependa kuchukua fursa hii kuwajulisha kwa wale diploma holders wenye lengo la kutaka kuendelea na higher education ktk chuo cha UDSM sifa stahiki zinahitajika na kwa wale wasio...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu wadau, naombeni msaada juu ya hili hivi mwenye diploma yoyote kama diploma in entrepreneurship,accountant n.k kwa guide book ya mwaka huu je anaweze akasoma bachelor ya education km...
0 Reactions
7 Replies
948 Views
Elimu yetu inaitaji maboresho makubwa sana, ikiwemo mishahara ya watumishi wa u walimu pamoja mazingira ya kuishi.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anaejua wana jf tumsaidie huyu Dogo yuko njia panda aende wapi naomba kuwasilisha Kwa anaejua
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Nimemaliza kidato cha nne nakupata Div3 ya 25 ila nataka kozi ya Afya kwa kuwa nina D mbili kwenye somo la Biology na Chemistry But phs sikusoma ayo masomo mengine nina Dna C chache je nitapata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 - NACTE
0 Reactions
2 Replies
606 Views
wadau salaaamu... Hii course unapata job gani aiseee nielewesheni tu msione kuwa nawatega
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za Leo wanajamii forum? Naomba kuuliza mwenye taarifa za uhamisho mwaku huu anijulishe plz ikiwezekana kama anajua unatoka lin
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nilikua nauliza mwaka huu hamna second selections za form five mwaka huu hamna? Mwenye taarifa please naomba maana nina mdogo wangu yupo nyumbani hadi namwonea huruma
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mwl niliyeajiriwa mwaka jana(2015) mwezi wa tano na ni munufaika wa mkopo wa elimu ya juu.Wameanza kunikata deni lao kuanzia mwezi wa nne mwaka huu(2016),cha kushangaza zaidi mshahara wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninaomba mwenye taarifa na erb forms anisaidie nataka nijiunge nao
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Back
Top Bottom