Wadau habari zenu ,naombeni ushauri kwa wenye uwelewe wa course niliyoitaja hapo juu ,nina mdogo wangu kaomba course hiyo in udsm ,
Kwa wenye experiences ya kozi hiyo nakaribisha ushauri ,sana...
Wanajamii naona kuna kitu kinanitatiza sikielewi elewi.
Ukishachaguliwa kwenye selection za chuo kuna mchujo tena unafanyika chuoni wa ukubali kwamba huyu aje a some huyu asije? Maana naona...
Ni vigezo gan hutumika kuwapanga wanafunzi wa kidato cha tano kwenye shule za vipaji kama Ilboru, Mzumbe, Kibaha etc. Kwa yeyote anayefaham tafadhal naomba unifahamishe.
Natanguliza shukran.
Naomba kufahamishwa kwa fom6 yeyote aliemaliza 2016 na ameshachukua result slip yake, Je ukipata daraja E unaandikiwaje? principal pass, pass, satisfactor au unsatisfactor. Tafadhari kwa fom6 wa...
Natanguliza shukrani za dhati..kuna mdogo wangu kapata c,c,c combination ya egm ameapply education tu.anaomba ushauri akichaguliwa akachague masomo yapi ya kufundishia mathematics and geography au...
Habarini za asubuhi wapendwa, nimepost humu kwa kuwa wengi ni wanafamilia na mna experience ya jambo hili.
Hivi kuna uwezekano mtoto kumpeleka English medium hizi za kawaida na akawa fluent...
Ukweli kuhusu Wakuu Wa Shule za Sekondari Walioshushwa Vyeo- Arusha
1. Utaratibu wa kuvuliwa madaraka umekiukwa, kimsingi Katibu Tawala Mkoa ndie mteuzi wa Waalimu wakuu wa sekondari, hivyo si...
Habari zenu wakuu;
Nahitaji mwl wa KIFARANSA ambae pia anazungumza vizuri Kingereza ili atufundishe mimi na mke wangu nyumbani, kama unamfahamu tafadhali naomba unijulishe.
Nitashukuru sana kwa...
Jamani wadau naomba mnisaidie kuhusu coz ya electrical engineer naitaji kusoma coz ya Electrical engineer Chuo cha kikuu mbeya MUST Naomba ufafanuzi juu ya ajila na kujiajiri
WAKUU.
Ninaandaa document muhimu ambayo inahitaji kuweka yaliyomo (Table of contents). Nikiri kuwa mimi ni mtumiaji wa kiwango cha kawaida cha Ms office hivyo napata tabu kidogo katika hili...
Salaaaam wana JF,
Kichwa cha habari kama kinavyosomeka ni kwa wale wanaojiona kuwa ni wazuri wa kukosoa so thread hii haitawahu wasubiri nyingine....
Kama mjuavyo yamebaki masaa machache kabla...
Hebu vuta picha, namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili...
Tanzania bado ni nchi ya kusikitisha duniani ,inatia huruma ,tatizo kubwa la tanzania ni kuwa na wanasiasa sehemu ambazo zinahitaji wataalamu mathalani kama TCU,katika tangazao lao la kupandisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.