Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
wadau kuna ule mtihani wa RPL unaomwezesha mtu aliyemaliza la saba,form4 na wengineo ili waweze kujiunga na digri 2016/2017 matokeo yameshatoka kwa waliofanya pepa la education UDOM.
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Mh. Rais tunaomba utimize ahadi yako ya baada ya miezi miwili ajira zitaendelea kama kawaida, sababu sisi watanzania wanyonge tunateseka na maisha haya ya ukata!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
See You At The Top. [emoji767]JoelNanauka
3 Reactions
3 Replies
8K Views
Habar zenu humu ndani.Mwanafunzi wa mining engineering wa DIT anatafuta sehemu ya kufanyia field kwa ajili ya kujifunza kwenye mgodi wowote.Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza je chuo kikuu kipya cha muhimbili kilichokuwa kinajengwa Muloganzila kimeanza kuchukua wanafunzi mwaka huu wa masomo. Ahsanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye uzoefu na hii kozi ya secretary naomba anielezee kwa undani ipo vipi yaan kuanzia chuo kinachotoa koz hyo ajira zake zipo vipi na mishahara. Nahitaji kusomea ila siiijui kwa undani...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau Mimi Ni MWalimu Lakini Napata Shida Sana Katika Hii Fani Yangu Sababu Nidhamu Ya Wanafunzi Ni Mbovu Wanakuja Shule Kwa Muda Wanaotaka ,mabinti Wanakuja Wamenyoa Viduku,mbaya Zaidi Ukitaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Asalaam! Napenda kujua wanafunzi wa kidato cha nne 2016 wataanza mtihani mwezi wa ngapi? Na je, ratiba ishatoka au bado? Mwenye kujua....
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Heshima mbele wana JF Kuna WIZI na UFISADI mkubwa umetokea katika pesa zetu tunazochanga kama ada ya association, Siwezi pita vumbi wakati lami ipo.... Rais ambaye anatakiwa kuondoka madarakani...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu wana jukwaa chuo chetu cha usimamizi wa fedha (IFM) kimeamua kututesa bila sababu ya msingi kwani tuliahidiwa kuingiziwa fedha za field baada ya uhakiki kumalizika ila cha kushangaza mpaka...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kuuliza tarehe ya kureport chuo 2016/17 kwa wale watakao chaguliwa Ahsante
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari wana jamvi. Hebu tujaribu kuliangalia hili, post za kujiunga a-level zimetangazwa na watoto wanatakiwa kuhuripot shule tar 11 July bila kukosa cha ajabu Nina kijana wangu amechaguliwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada jamani maana niko mbali na jiji? Hii syllabus mpya nimeona imepunguza masomo which is good, 1) je kuna masomo mapya? 2) Naomba mwenye ufahamu anisaidie kama mtu ukikaa miaka mingi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
B1=Basic 419000 Cwt=8390.Pension=20950.Income=46090.Insur 12570 Take home 331000 C1=530000 Cwt 10600.Pension 26500.Income 58300.Insurance 15900 Take home=418700 D1=716000 Cwt 14320.Pension...
8 Reactions
175 Replies
115K Views
Amani kwenu wana-ndugu. Kwa muda mrefu somo la "literature in english" limekuwa likifundishwa mashuleni bila kuwa na syllabi husika. Walimu wamekua wakipata wakati mgumu ni kipi wafundishe na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
945 Views
Ndugu wana JF KWA ANAYEJUA Kuhusu chuo cha IMTU dar es salam Anifahamishe Coz wamenichagua. Pale NURSING
0 Reactions
15 Replies
3K Views
TAARIFA KWA UMMA OR-TAMISEMI inatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano awamu ya Pili (Second Selection) kwa mwaka 2016. Jumla ya wanafunzi 3,918 wakiwemo wasichana...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
chama cha walimu sikielewi naona kinashabikia kufukuzwa walimu wakuu watakao kuwa na wanafunzi hewa! mbona kwenye watumish hewa wakurugenzi na wakuu wa idara tena wanaotumia makomputa maofisini...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom