Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau naomba kufahanishwa website ambazo unaweza kudownload free audio books. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Habari waku! kuna jamaa yangu katika kulipia hela ya ku apply yeye kalipa Maxmalipo ambayo wana huduma ya TCU pekee huduma ya nacte hawana. na yeye kapitia diploma, je kwa hapo hii risiti...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wadau katika kujua Programme sahihi zaidi katika vyuo vya Tanzania na uringo wa vyuo vya Africa Mashiriki lakini zaidi soko la ajira kwa Eastern Africa Zone.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mm mwalimu idara ya elimu msingi nipo kondoa dodoma natafuta mwalimu wa kubadilishana naye kituo cha kazi yeye aje kondoa mm niende karagwe kagera au maeneo jirani na hayo... Nitafute kwa simu...
1 Reactions
0 Replies
928 Views
Habari zenu jamani sisi Wa diploma tulio kuwa chini ya Gpa3.5 je? Tunaweza ruhusiwaa kurudia tena? Kusoma diploma au utaratibu upoje.
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Wana Jamii wa JF, ni hivi nina kijana wangu alimaliza form IV 2014, na haya ndio matokeo yake:- CIVICS E; HISTORY E; GEOGRAPHY D; KISWAHILI D; BIOLOGY E; B. MATHS F; COMMERCE F; BOOK KEEPINNG F...
0 Reactions
1 Replies
665 Views
Ambaye Anasoma Butmba College Niambie Mashart Ya Hapo
0 Reactions
51 Replies
16K Views
Wanajamii forums naomba mwenye kujua jumla ya vyuo vilivyopata pesa ya mafunzo kwa vitendo awamu ya kwanza anijuze
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa naombeni msaada Kulingana na cutting points walizitoa TCU mie nina point saba yani BB+ in chemistry and biology f6 2015. Niombe chuo kipi kwa MD?
2 Reactions
127 Replies
31K Views
IPI nzuri apo agronomy at sokoine au medical lab at Kampala university
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Siku kama ya Leo mwaka 1911 huko London yalizuka mapigano baina ya polisi na wahamiaji wa latrivia baada ya kiongozi we kundi LA wezi kuuwawa baada ya kuiba katka maduka ya Vito vya thamani huko...
0 Reactions
3 Replies
679 Views
Yaaani haya majanga wenzetu wanategemea kupata ya pili sisi hata ya kwanza bado
0 Reactions
10 Replies
2K Views
we have East African Business Database available now. Contains the following information:-- 1. Company name and address. 2. Contact person and title. 3. Postal address, city and region. 4...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
http://www.tcu.go.tz/images/documents/TAARIFA_KWA_UMMA_MATOKEO_YA_UDAHILI.pdf
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Habar zenu wana janvi.... Polen na majukumu ya kila sk na hongeren kwa kuwajibka kila siku. Mmi nimeleta uzi huu kwenu nikiomba kujuzwa hili : hii koz ya secretary soko lake katka ajira ipo vip...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Wale wote tuliowahi kufukuzwa shule tupite hapa. Tujikumbushie ni changamoto zipi tulizopata baada ya kufukuzwa na ni mara ngapi ulifukuzwa shule na kwa kosa lipi. Karibuni...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Jamani jee hilo swali katika hiyo picha mtoto wangu amepata au amekosa ? Kwa uelewa wangu mimi 2/4 ni nusu yaan half.. Sasa kweli hii ni sawa au ndo mwanangu ananywesha sumu.. Ipi sahihi hapo...
1 Reactions
78 Replies
7K Views
Kwa wale waliopangiwa chuo cha Madini Institute tujuane mapema bhasiiiii.
0 Reactions
0 Replies
379 Views
habari! naamini kuwa wote ni wazima wa afya leo nilikuwa naomba kujuzwa hii programme inahusiana na nini je kazi yake hasa kama nikisomea nitaajiriwa maeneo gani pia kama nani???hii...
1 Reactions
1 Replies
674 Views
Back
Top Bottom