Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Husika na kichwa cha habari apo juu je gpa inatafutwa vipi inaanzia kucalculatiwa kuanzia first year semister au?
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa.. Nina mdogo wangu ambae amemaliza certificate ya mipango dodoma. Matokeo yake yametoka na anapenda kusoma ualimu (diploma ya primary ) Je hilo linawezekana? Shukrani
0 Reactions
6 Replies
699 Views
Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu,Naomba msaada wa kupata KANUNI ZA UTUMISHI WA UMMA 2003.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
za asubuh wa wakuu,nilikua naomba kufahamu hio koziii inayotolewa udsm,pia inatofauti ganiii na petroleum engineering,
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Nimetumiwa ujumbe na nacte unanitaka ni upload full transcript na diploma certificate japo kua nilivi upload kipindi lile najilegister.na nikitaka ku log in ili kuvi upload naambiwa system...
0 Reactions
2 Replies
561 Views
Habari zenu! Ningependa kuuliza kwa hawa wataalamu na wanaosoma ICT. vyuo accredited by NACTE vinatutaka waombaji tuwe na maamuzi sahihi ya course sababu once umejaza course huwezi kuibadilisha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari , kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Awe anatokea dodoma nichek kwenye 0755429928/0652247221
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Najiuliza hivi no ambazo NACTE mmeziweka kwamba tukiwa na matatizo tupige ni mapambo tu au sio kwa ajili ya kutusaidia sisi? Haiwezekani nikipiga mara hazipatikani na zikipatikana hazipokelewi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Closed
Wanajamvi naomba kuleta kwenu course hizi >>>> B.S in forestry, B.S in food science and technology, B.S in agricultural and natural resources economics and business, Environmental science, na Wild...
0 Reactions
76 Replies
69K Views
Wanajamvi naomba mwenye uelewa anijuze tofauti kati ya INFORMATION TECHNOLOGY VS INFORMATION COMMUNICATION AND TECHNOLOGY kwa sabababu nashindwa kuzitofautisha. Pia naomba kuuliza Bachelor of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mhanga ambae mara ya kwanza NACTE ilipotoa taarifa wanafunzi wa diploma watume maombi kujiunga na shahada kwa vigezo ya GPA 2.7 baada ya kubadilishia gia angani nilijikuta sina sifa ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi jamani tuseme hata uhamisho wa watumishi wa umma unahtaji fungu ama vp!? maana uhakiki umeisha na hatuoni dalili wakati wengine tulivyoomba tuliweka commitment kuwa tupo tayari kujigharamia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Ni walimu wa level gani wanapangwa katika college hizo na wenye sifa zipi? Nikimaanisha wakufunzi wenye sifa zipi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nina rafiki yangu tulikuwa chuo kimoja UDOM.Sasa mwanzoni mwa wiki hii matokeo yametoka na rafiki yangu amedisco. Sasa mimi kama rafiki yake...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama ya...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani wakuu naombeni mnisaidie hili, hivi kwa diploma ya mechanical kwa Tanzania ajira zake zipo. Nisaidieni hili ........
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hali zenu wanajukwaa, Kwa heshima na taadhima ninaomba kama kuna mwanajukwaa atakayeweza kunisaidia nipate matokeo ya mtihani wa darasa la nne mwaka 2013 kutoka baraza la mitihani, naomba sana...
0 Reactions
0 Replies
12K Views
Back
Top Bottom