Serikali iko kwenye hatua za mwisho ya kuandaa sera ya elimu ya msingi kuishia darasa la 6.
Sera hii itakua ni kusoma miaka 6 ya elimu ya msingi na miaka 4 ya elimu ya sekondari na kufanya miaka...
Ni Ujumbe Wangu Huu Ukufikie Madam Ndalichako
Nimejaribu Kuangalia Viwango Vya Kutunuku GPA katika Vyuo Tofauti Lakini Nimegundua Vyuo Vingi Vimetofautiana Kuhusu WanavyoCalculate Hizo Grade...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017
Date Posted: 2nd September 2016 17:20:21
Posted By...
Jaman naomba msahada niweze kujua mm ni diploma holder nilianza kuapply juz usiku coz ya matatizo ya kipesa sasa naimba kujuzwa nimeishia kufanya registration nina user name na password na...
Chama walimu inakata asilimia fulani kwenye mishahara ya walimu kwa
MADHUMUNI ya:
(a) Kuendeleza na kulinda hadhi ya kazi ya Ualimu pamoja na kusimamia viwango vya juu vya maadili, ufahamu...
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu wote mlioomba diploma in primary education kwenye vyuo vya selikali profile zenu zikoje maana yangu naona maruerue profile zenu zikoje
Mlisema leo mtatoa selection naona siku inapita hakuna kinachoendelea.
Hili ndo tatizo la kuchaguliwa viongozi wakuu kwenye elimu wakiwa ni makada wa chama kila kitu siasa
Jaman bandugu naomba kujuzwa hivi selection za waliochaguliwa kujiunga na degree TCU ni lini zinatoka na tutaangalizia CAS au wap?? Msaada jaman nna kilalulalu nimemiss kusoma..[emoji23] [emoji23]...
nilkua nasoma b sc in mathematics kwenye ya vyuo vikubwa hapa tz nmedisco, najiona very misarabo, najihisi me mm co kitu is like niko blind kwa wale ambao mxhapitia huu mziki naombeni nambieni...
Wanadahili wanafunzi kwa ngazi ya degree direct chuoni bila kupitia tcu mbona hii wizara ya elimu siielewi msimamo wake ??open siwaelewi kabisa naona kama watu wanaliwa bure
husika na heading hapo juu watakaochaguliwa chuo husika msisite kunitafuta tupeane maelekezo ili usisumbuke siku ya usajili. Haswa wanafunzi watakaosoma sheria 0717512119. By mwanafunzi mwenzenu
Tunapenda kuutangazia Umma kuwa tulifunga mfumo wa pamoja wa udahili tarehe 31/08/2016 saa sita usiku ili kuchakata maombi ya waombaji waliofanikiwa kuomba udahili kwa mwaka wa masomo 2016/2017...
Ndugu zangu wana jukwaa,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnaendelea vyema na mapumziko ya mwishoni mwa wiki.
Ndugu zangu mimi ni mwalimu katika moja ya wilaya katika mkoa wa Rukwa.
Siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.