Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ninaomba kusaidiwa mchanganua wa matokeao yafuatayo na uchaguaji wa kazi za chuo. Form 4, 2009 (Div 3) Maths C, Physics D, Chemistry C, Biology C, History C, English C, Civics C, Yaliyobaki ni D...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana jf pole na mahangaiko.naomba msaada wenu katika hili naomba kufahamishwa ni vyuo gani vinafundisha kozi za Dental therapy na Optometry kwa ngazi ya cheti hata kama ni vyuo...
2 Reactions
5 Replies
7K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wote ambao tumeapply kozi za afya NACTE. Karibuni tujuzane mambo mbalimbali,ushauri,maswali ya kozi husika n.k. Karibuni sana wapendwa!!!
1 Reactions
80 Replies
10K Views
Muda wowote TCU watatoa majina waliopata chuo first round mtakao kosa plz msisahau ualimu a.k.a EDUCATION
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Uchaguz wa awamu ta tatu form five upooo 2016
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wakuu? Hivi huwa kuna official formula ya kumlipa mwajiriwa Arrears let say ya mwaka mmoja? Kuna muda niliona formula moja inatumiwa na kampuni fulani ila nimesahau. Mwenye uelewa na hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maendeleo ya sayansi na teknolojia bana yanakuja na faida na hasara nyingi pia. Kumekuwa na mada yenye uvutano wa hali ya juu ktk jamii kwamba ADHABU YA VIBOKO INAFAA AU HAIFAI kwa malezi ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu magomeni makanya tuje kuihudumia gari lako na kulirudisha kwenye muonekano wa awali! kwa mawasiliano zaidi!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jamii mm nilimaliza kidato cha nne mwaka 2015 na kufaulu masomo haya CIVICS. C HISTORY. C GEOGRAPHY. C...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilikuwa nahitaji kuchukua certificate ya agriculture nina qualification zote je ntapitia process zifi naomba kujuzwa
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Kwa wale ambao wamejaribu kuwasiliana na NACTE moja kwa moja kupitia email address(es) pamoja na namba za simu ambazo wameweka mtandaoni kwa ajili ya mawasiliano naombeni uzoefu: 1. Kuna ambaye...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu, yapo maoni yanayosemwa na weng kuwa sisi wanafunzi wa dunia ya sasa tupo busy sana na social networks ndio maana ufaulu mzuri mashuleni na vyuoni umepotea kabisa. Imedaiwa kwamba wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarin wakuu Tufanye maombi kwa wadogo zetu wa darasa la saba ktk mitihani yao ya Taifa Mungu wa mbingun awatangulie ktk mitihan yao Amen[emoji120]
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwenye taarifa za second selection ya NACTE atujuze. Jana ndio ilikuwa siku ya kutoa matokeo, haikufanya hivyo. Kuna nini?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hii kozi kwa wataalam unaweza kuajiriwa kama nani au kujiajiri kama nani inatolewa na chuo cha reli tabora ni kozi ya mwaka mmoja je ukimaliza hii unaweza kusoma diploma?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu Luna tofauti ipi kati ya ICT na Computer science!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman naomba mnisaidie kwani Kufundisha wakati wa likizo ni lazima coz huku kwetu tumeambiwa FRM 4 hawatakuwa na mapumziko ya wiki moja na walimu watafundisha Bure....
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu habari ya muda huu. Baada ya mambo kua sio yenyewe zama hizi za mukulu ni wakati muafaka wa mimi kurudi shule. Tulikua tukishauriwa kurudi shule tukawa tunaona ukirudi shule ukija utakuta...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana jf natumaini ni wazima wa afya mm nimehitimu kidato cha nne mwaka 2015 katika shule moja ya kata iliyopo sana huko mara Tz na nilipata matokeo yafuatayo DIV III 25 CIVICS D GEOGRAPHY D...
0 Reactions
7 Replies
997 Views
Back
Top Bottom