Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Niliwahi kusoma diploma ya water supply and sanitation Engineering chuo cha maji na kufanikisha kumaliza mwaka 2013, Nilikua ni miongoni ya wanafunzi waliochaguliwa direct na serikali kutoka...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATIONCENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS) Home Profile FAQ LogoutDeadline: Thu, Sep 15 2016 11:59 | Selection Status for Certificate/Diploma and Higher Diploma...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nacte mpo kimya sana hamtoi updates zozote kuhusu kutoa majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo yao katika mwaka wa masomo 2016/2017 kwa ngazi ya stashahada na cheti, wananchi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Msaada jamani kwenye status yangu iko hivyo maana yake mimi nimetemwa au ndo nitapata?
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Jamani wadau nilikua naomba msaada wenu kujua kidato cha pili mwaka huu 2016 wanaanza lini mitihani yao!!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Japo ualimu ni kada duni kuliko zote Tanzania lakini kilicho fanyika TARIME siyo ungwana hata kidogo. Baadhi ya WALIMU walipewa barua kusimamia mtihani WA mock kidato cha NNE,cha kushangaza kazi...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nime discontinue (disco) vipi ninaweza omba nafasi na wadogo zang kuanzia tarehe 12 .msaada ndugu zang maana nilipatwa na matatizo nikajikuta nafanya mitihani vibaya
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada, anaejua kuhusu Collage Panel Account baasa ya kufutwa kwa course ya up grading/ foundation
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Ingia kwenye website ya chuo hucka chukua number na uwapigie
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa, nini kinaendelea NACTE kuhusu second applications baada ya za kwanza- Form 4 to certificate, diploma admissins
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana JF, nimeandika Kitabu kizuri cha ECONOMICS Paper 1. Kwa kweli ni kizuri kwa kuwa nimeshaanza kukiuza kwa shule chache na kwa baadhi ya wanafunzi. Wanafunzi wote wamekisifia kwamba ni kizuri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani msaada please mwenye uelewa hapa, Ninapoweka index no na paword nakuntana you have not selected nikiclick naona hicho chuo
0 Reactions
25 Replies
3K Views
kwa wale walio chaguliwa THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACCADEMY upande wa teachers education (technician certificate) tukutane hapa
3 Reactions
1 Replies
665 Views
Habarin za asubuh wakuu, kwa wale walioomba Diploma katika chuo cha maendeleo na uongozi wa elimu (Adem) majina yao yametangazwa katika website ya chuo kwa campus zao za Bagamoyo na Mwanza kama...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
nmepewa na password na username nikilog in inakataa inasema "No Username or Password matched your Entry, Check your Email box for correct Username and Password (Code 1009)" msaada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Link Education, Abdumaliki Mollel amesema hayo leo jijini Dar, kuwa vyuo vya nje viko tayari kupokea vijana wenye sifa hizo. Mollel amesema kuwa vijana...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wanaJF, Nipo kwenye mchakato wa kuongeza huduma nyingine ya kulipia kwa anaehitaji kuongeza mikoa mingi zaidi ya mitano ambayo niliyoiweka ili kupata walimu/waaguzi haraka wa kubadilishana...
1 Reactions
1 Replies
625 Views
Wataalamu hawa wanahusika na; 1. Kuchakata gesi asilia 2. Kusafisha mafuta, 3. Kutengeneza kemikali zinazotokana na gesi asilia na mafuta 4. Kupima ubora wa gesi asilia na mafuta, 5.Kuendesha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Napenda kuchukua fursa hii kuweza kuchangia kile ambacho kinaweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine Kwa wale ambao walikosa first round application napenda kuwapa pole na wasikate tamaa kwani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom