Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajamii,kuna mtu yeyote katumiwa joining instruction kwenye email au kapigiwa simu,maana hawa nacte mwaka huu dahh wanazengua na muda unazidi kwenda.
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Kama umehitimu kidato cha sita PCB, PCM, CBG au PGM nakushauri uchague Bachelor of science in Optometry. Ni program mpya katika chuo cha KCMUCo, Moshi. Optometry ni eye health care professional...
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Mention And Explain Five Institutions Which Undermine Women In Tanzania.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu,Naomba kuuliza ipi course ya kilimo yenye maslahi zaidi ya kusoma degree kati ya hizi : 1 . Agriculture extension 2 . Horticulture 3 . General agriculture Naombeni michango yenu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye kujua tafadhali kuhusu application za hawa jamaa unafanyaje anisaidie.. Nina mdogo wng anataka kusoma huko... Mwenye uelewa ani pm anipe msaada pls
0 Reactions
4 Replies
936 Views
NI DIPLOMA GANI YA AFYA AMBAYO NI NZURI NINAWEZA NIKASOMA KWA MTU WA MWENYE ELIMU YA KIDATO CHA NNE? Ushauri please wadauu
0 Reactions
5 Replies
767 Views
Salama wadau? Mwenye kufahamu hii kozi changamoto zake na ugumu wake kwasababu watu wengi wanatuambia ni ngumu kuliko hata MD??? Nisaidieni
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Wadau naomba kuuliza vizuri kuhusu chuo cha mati igulusi manake kuna Dogo langu amechaguliwa huko katika fani ya LAND USE, sasa anahitaji kujua zaidi mazingira ya chuo kwasababu hadi sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sina nia ya kumchafua mwl huyu mwenye asili ya Burundi anaitwa Prudence, ushahidi ninao. Anafundisha PHYSICS na CHEMISTRY form 5 & 6 pale SHINYANGA SEC kwa miaka mingi amekuwa akifelisha maskini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wadau niemeingia katika profile yangu mda huu naona inafunguka wakati jana walisema system closed sasa sijui vip
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari za mchana??nilikuwa nauliza hii foundation course ya OPEN UNIVERSITY bado ipo? Kwa sababu nimepata tetesi kuwa hivi sasa hiyo course imeondolewa. Asanteni nawatakia mchana mwema
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wenye ufahamu na hili,Baadhi ya vitabu wanaeleza kuwa shall inatumika kwa nafsi ya kwanza tu yaani(I & We) mf. I shall.... or We shall...... Lakini naona katika vision au mission za taasisi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana Jukwaa kwanza nawasalimu wote wakubwa kwa Wadogo.,Mimi nimefanya application tar 10/8/2016 ya kujiunga na diploma chuo kikuu dodoma lakn hadi sasa nikicheki kwa Email yangu hakuna...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jaman kuulza si ujinga hivi TCU wakishafunga dirisha lao huchukua muda gani kuja kutoa majina ya waliopata chuo kwa round ya kwanza...mwenye mawazo au uzoefu!
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Wkuu habari zenu, ningependa kujua kama bado naweza kutuma maombi ya kufanya mtihani wa cpa kwa tarehe ya kesho 7 september 2016
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau wa Jukwaa la Elimu, Mimi ni mtanzania niko Mwanza hapa, siku chache zilizopita niliapply nchini Canada. Nimetuma application zote na sasa wameniambia niwatumie TOEFL form inayotumika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua mshahara elekezi uliopitishwa na TCU kwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Nasikia kwamba kiwango cha chini kimewekwa kwa vyuo vyote, ni kiasi gani kwa mwezi?
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom