jamani naombeni masaada wa vyuo vya binafsi na serikali vinavyotoa diploma ya maswala ya aridhi ila ambavyo vipo Morogoro au Dar-es-salaam
kwa anaevifahamu tafadhali anisaidie...
Wakuu natumaini ni wazima wa afya,naomba kuuliza ipi ni master's degree yenye market sana kati ya hizi?
1.Public health
2.Medical virology
3.Medical entomology & vector control
Naombeni michango...
chuo ndo mhimili mkubwa wa taifa lako ,kubadili alama za ufaulu baada ya paper ni moja ya ukatili Unaua huku unacheka (baghdad,2016). mwisho wa kunukuu
Habar wakuu,
Nimechaguliwa St. Joseph, boko jijin Dar.. ila nimeambiwa nitatumiwa joining instructions kwenye email yangu wiki ijayo na Chuo kitafunguliwa yapata mwez wa kumi,
Ninaomba kwa...
Habari wanajamvi,
Kama una mpango au nia ya kusomea engineering hasa Tanzania, hizi ndizo programmes zilizo na soko zaidi na future hasa kwa nchi yetu hii!!! Kwa kushirikiana na wadau wengine...
Naombeni kujua utaratibu na hatua za kuchukua pale chuo kinapodaili kozi ambazo hazipo au hazijasajiliwa katika chuo hicho. Mf: umedailiwa kozi fulani katika chuo fulani alafu inafika mwisho wa...
Habari zenu wakuu, kuna swali lanitatiza nina mdogo wangu kamaliza certificate ya ualimu mwaka huu ila nasikia eti walimu wote wa msingi wanatakiwa wawe na dipolma, je kuna ukweli wowote juu ya...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kampasi ya Nyerere (zamani Mlimani) kiko kwenye mpango maalum wa kuleta swala 50 kama majaribio ya mpango wake mkubwa wa kuweka wanyama katika mazingira yake,mtaalam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.