Iv jaman tusaidiane kama kuna walimu walio dahili diploma je wameshapata muafaka wa vyuo hivyo na wsnaenda lini kuriport mm cielewi nimechaguliwa ad nakata tamaa maana hata chuo wanakwambia...
Jamani,salaam hapa,nina jambo
Kwa sasa kama wengi mnavyofahamu zoezi la uhakiki limepamba moto. Kama inawezekana bila kuathiri taratibu, tukumbushane majina ya walimu wetu wa shule za msingi na...
Wakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda...
Jaman kuna ndugu yangu kapewa Majibu hayo na nacte....ambacho sielewi ni ivyo alivyoambiwa provisionally selected,what does it mean??? Mbna wengne hawaambiwi Ilo neno provision???
Habari wakuu,kama kuna mtu anajua sehemu
wanayofundisha martial arts nzuri ila isiwe
SHOTOKAN either TAE KWON DO,JEET KUAN DO,
TAI CHI au mwingine wowote naomba ani pm please!
shukrani
Mwanzoni, NACTE waliandika kwenye profile za watu, "kindly u have been selected" lakini kwa mara ingine tena leo wanaandika " kindly u have been provissionally selected to one of the choices...
Habari Jf.
Naomba kufahamu anayesoma Bachelor of Arts in Law Enforcement anafanya kazi gani kwenye soko la Ajira.
Nataka niongeze kwenye list yangu wakati nafanya application.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.