Ndugu wana jamvi baada ya kuwa sisi tuliochaguliwa UDSM kupitia NACTE kutemwa kule kwa kukosa credit tatu za o level.
Nacte walitufungulia profile zetu tuchague upya nilifanya hivo lakini mpaka...
Jamani kuna mdogo wangu jana ameona selection amepangiwa St John Bachelor of science in nursing ila yeye anasema aliijaza ya 4.
Sasa anadai hataki kusoma Nursing.
Vp wakuu kunauwezekano...
Natumaini mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu hivi selection za TCU hua zinaenda mpaka round ngapi ..? maana wamesema kuna 2 round Je 3 round IPO wakuu?????
Nawasilisha
wakuu habari zenu,, selections za chuo zimetoka na nkafanikiwa pata bcom in accounting (udsm) ilkua third priority,, maoni yenu kuhusu hii course,, yani in aspects ka its marketable au nimebugi...
Salaam....
wadau naomba yeyote aliyechaguliwa au aliyesoma paradigm college of helathy course yoyote kati ya pharmacy..community healthy...clinical medicine au nursing
anichek,,,,,,,0621...
Naona wametoa tangazo la kazi kwa upande wa RITA, na RITA iko ktk utumishi wa umma. Hii ni ishara njema kuhusu kufunguliwa kwa ajira na kupanda kwa madaraja kwa watumishi wa umma. Public Service...
Habari wapendwa nahitaji mtu aliye soma clinical medicine pale St aggrey Mbeya ngazi ya astashahada ani PM tafadhari kunajambo nahitaji kuuliza Tafadhali.Barikiwa utakaye Nisaidia
Kwenye Hesabu/mathematics kuna Topic kama Matrix may be 2 or 3 by 3 matrix,Linear Programming,Nianze na izo chache
Katika shughuli zetu za kila siku matumizi ya topic tajwa apo juu ni zipi? Au...
Wakuu Habari Zenu!
Leo Naona Kwenye Profile Yangu Ya TCU wameniandikia Hivi:-
"Now Wait for Second Selection which is Expected on 31/08/2016"
Sasa Hapa Pamenipa Wasi Wasi Wa Kuhisi Kwamba Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.