Tafadhali Naomba Msaada kwa aliomba kozi za Diploma sioni maelekezo wala ujumbe kwenye barua pepe kwamba nitajibiwa lini na mara ninapofungua nakutana na hii Hali hapa chini, je nitumie njia gani...
Jamani mimi ni muhitimu wa chuo kikuu na nimemaliza mwaka 2010,nilibahitika kupata mkopo Kwa mwaka mmoja tu wa degree yangu ya miaka 4.Lakini cha ajabu nimeletewa deni la miaka yote minne, Wakati...
Mh; Waziri kuna tabia inayoendelea nchini katika sekta ya elimu na kama hamjaijua ngoja nikupashe habari kamili. Inahusu vyeti toka nje ya nchi.
Mh. Waziri msiishie kuangalia wafanyakazi hewa tu...
Kwa wale wapenzi wa audiobook tunaomba tusaidiane kushare best audiobook uliyowahi sikiliza na kama inawezekana kushare link ambayo tunaeza kupata hizo audiobook kwa urahisi.
Habari wakuu,,,,wakuu naombeni ushauri wenu nasoma pcb shule mojawapo dar hivyo nlkuwa naomba ushauri jinsi ya kusoma na kufaulu vema hasa kwa kuwa mimi niko day school,,
MIMI NIMECHAGULIWA KOZI HIYO CHUO HICHO NINAOMBA KWA ANAYEJUA BASI ANIJUZE YAFUATAYO.
- JE HII KOZI NDO INAANZA KWA CHUO HICHO AU ILISHAGAANZA?
- JOINING ISTRUCTIONS AU ADMISSION LETTER HUWA...
habari wadau wa JF...
wakati mwingine tuweni makini na vyuo tunavyoenda kusoma hasa hivi vya private ....Haya maneno niliyoyataja hapo juu yananimix kwan nimejaribu Kuchek orodha ya vyuo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.